Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kwenye hiyo nimeshamiliki brands tatu tofauti sahii nipo Hisense bwana govi, labda kama wewe ndio huna TV. 🤣🤣🤣.
Last year si ulituonyesha TV ya 24ā€? Hile ilikuwa Yule mumama wako ama ya jirani?
 
This is one of the biggest bike companies in Kenya today
1744923965211.jpeg
 
Umepanic. Kwa Tanzania issue ya TV ni kitu cha kawaida. Kwenu huko kenya mnaona anasa 🤣 🤣 🤣 🤣
Ndio maana Tanzania Brands ni nyingi sana za TV kuliko Kenya.
Tanzania tv ni kwa ajili ya watoto , mpira tunaangalizia bar tukiwa tunabdalishana na mawazo baada ya KAZI hawa chokolii hata hiyo hela kuspend Kila siku wataitolea wapi lazima wakariri all types of tvs
 
Back
Top Bottom