The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Wanaona ni big issue kumbe kitu kidogo tu. 😂😂😂
View: https://youtu.be/zrvfWGRIumw?si=CXJOBoMpBuIuR36d
Hawaijui vzr Tanzania, wanadhani tumewapita kwa bahati mbaya kwenye trade activities, huenda wanajua au wanafanya kusudi for the sake of battle. Wanapaswa kujiuliza kwa nn siku hizi wanakimbilia Tz kununua bidhaa na wengine wao wakiwa ni watu kutoka humu humu kwenye huu uzi.