Last year si ulituonyesha TV ya 24β? Hile ilikuwa Yule mumama wako ama ya jirani?Hapo kwenye hiyo nimeshamiliki brands tatu tofauti sahii nipo Hisense bwana govi, labda kama wewe ndio huna TV. π€£π€£π€£.
Umepanic. Kwa Tanzania issue ya TV ni kitu cha kawaida. Kwenu huko kenya mnaona anasa π€£ π€£ π€£ π€£Wewe huna TV nyamaza.
Hicho kiswahili cha Mama NginaLast year si ulituonyesha TV ya 24β? Hile ilikuwa Yule mumama wako ama ya jirani?
Tanzania tv ni kwa ajili ya watoto , mpira tunaangalizia bar tukiwa tunabdalishana na mawazo baada ya KAZI hawa chokolii hata hiyo hela kuspend Kila siku wataitolea wapi lazima wakariri all types of tvsUmepanic. Kwa Tanzania issue ya TV ni kitu cha kawaida. Kwenu huko kenya mnaona anasa π€£ π€£ π€£ π€£
Ndio maana Tanzania Brands ni nyingi sana za TV kuliko Kenya.
problem is, you not wanting it to be true has no effect on the reality ..Zitaje kama una uwezo
π€£π€£π€£ππππ Sitaki mnipige mawe. Bango limesomekaThis is one of the biggest bike companies in Kenya today
View attachment 3307759
If it's true then mention those types of semiconductors you produce in kenyaproblem is, you not wanting it to be true has no effect on the reality ..
Kwikwi made in kenya
Imenishangaza sana. Kijana anaongelea ku own TV π€£ π€£ π€£ π€£ Hii ni ajabu na kweliTanzania tv ni kwa ajili ya watoto , mpira tunaangalizia bar tukiwa tunabdalishana na mawazo baada ya KAZI hawa chokolii hata hiyo hela kuspend Kila siku wataitolea wapi lazima wakariri all types of tvs
Umri huu mwanaume kabisa nijadiliane eti namiliki tv gani wakati hata muda wa kuangalia sina. Tv tunanunua na hatuziangaliiImenishangaza sana. Kijana anaongelea ku own TV π€£ π€£ π€£ π€£ Hii ni ajabu na kweli
Hayo ni mambo ya Dada wa Kazi ndiye anayejua TV gani bora. Mke wangu wala hajihusishi na kujua TV ipi ya kunuhuaUmri huu mwanaume kabisa nijadiliane eti namiliki tv gani wakati hata muda wa kuangalia sina. Tv tunanunua na hatuziangalii
Mimi wanajua watoto tu, maana Nina miaka sijawahi hata kuangalia kinachoendelea ila najua ikiharibika nanunua tuHayo ni mambo ya Dada wa Kazi ndiye anayejua TV gani bora. Mke wangu wala hajihusishi na kujua TV ipi ya kunuhua
kama kawaida yenu lazma mtembee na nyota ya vivutio vya Tanzania! Mbona msiite Lenana or Nelion or Batian?This is one of the biggest bike companies in Kenya today
View attachment 3307759
Angalia vizuri utaelewa. Yule wa kwanza hakukua na kampeni za nguvu hivi. Why huyu?
What specific part of bike you is manufactured in Kenya ? Hivi wakunya mnakiwaga wajinga wakati wote ?Kwa hivyo Kwa pikipiki ni engine pekee hua manufactured?π