Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Hamna Harusi imefana hivyo tatizo nn?Yani harusi pekee inawafanya mnarukwa na akili hivi? Halafu ni Ile Ile Nigeria ambayo huwa mnasema ni ovyo sawa na Kenya ndio mnashobokea hivo?🤣🤣
Hoja ni intra-Africa trade na jinsi Serikali zenu za kishenzi zinavyotumia Kodi za Wananchi vibaya.Huwa mnasema mtatufungia tusinunue mahindi yenu, Leo hii ndio mmejua mnunuzi ndio boss? 😂😂
Nigeria sawa na Kenya? Unaumwa mavi wewe! Tanzania haina bifu na Nigeria kama nyie nyafnyaf...!!Yani harusi pekee inawafanya mnarukwa na akili hivi? Halafu ni Ile Ile Nigeria ambayo huwa mnasema ni ovyo sawa na Kenya ndio mnashobokea hivo?🤣🤣
Kwasababu walikuwa hawana pesa CBK knows its people very well. What happened to the guy who wanted to compete with AMSONS Group?Kuna kampuni ya Kenya that overbid for the purchase of Bamburi but CBK ikawakataza, jiulize kwa nini😂😂🤣😂
Anafikiri ni kama harusi zao za sh 200 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamna Harusi imefana hivyo tatizo nn?
View: https://x.com/florence_advert/status/1913826639168885027
View: https://x.com/Wheatny_xo/status/1913013361853227165
Kenya ukiacha Wezi wa euro bond na mafisadi wengine hakuna mwekezaji hata mmojaHawa wachawi wanajaribu kujiweka level yenye hawawezani nayo. To make the matters worse, ni warabu ndio wanatupigia nao kelele. Hakuna real mtanzania hata mmoja mwenye Ana uwezo wa kuwekeza Kenya.
Bro, we don't care that much about weddings here. Kwani wewe ni shoga harusi zinakufanya umbao? Harusi pekee mnasherehekea sijui kama Nini. Alafu arusi yenyewe kijana ni wenu na mnaifanyia Nigeria alafu mnaona kama flex.Hamna Harusi imefana hivyo tatizo nn?
View: https://x.com/florence_advert/status/1913826639168885027
View: https://x.com/Wheatny_xo/status/1913013361853227165
Mchungaji anataka kumtupia kondoo kwenye zizi la Simba 😀 😀
Sasa mbona mnalia? Si huwa mnasema mnatulisha? Sasa tukiwapunguzia mzigo wa kutulisha tena mnalia?🤣🤣Hoja ni intra-Africa trade na jinsi Serikali zenu za kishenzi zinavyotumia Kodi za Wananchi vibaya.
Kwamba ukafuate mahindi Brazil Kwa gharama kubwa kuliko kununua Kwa Nchi jirani ,wewe unaona hapo unawakomoa Kundustan wanauana Kila siku kisa ugali au unaikomoa Tanzania ?
View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1913288855026909196?t=PZqfS1fL181iLi10XwQVvw&s=19
Na hii hoja ilitokea hapa baada ya Malawi kuingia kwenye huo ushenzi 👇👇
View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1913126181127209352?t=ujBMZfn6WzG_RMJzaKm4UQ&s=19
Unaumia mzee. You real care!!!Bro, we don't care that much about weddings here. Kwani wewe ni shoga harusi zinakufanya umbao? Harusi pekee mnasherehekea sijui kama Nini. Alafu arusi yenyewe kijana ni wenu na mnaifanyia Nigeria alafu mnaona kama flex.
Humu humu huwa mnapost Nigeria ni ovyo alafu mnaongeza kama tu Kenya. Sijayasema haya maneno. Ni maneno yenu wenyewe. Mfano huu.Nigeria sawa na Kenya? Unaumwa mavi wewe! Tanzania haina bifu na Nigeria kama nyie nyafnyaf...!!
Mzee wivu inakuuma sana. Nigeria leads Africa in entertainment, followed by Tanzania.Humu humu huwa mnapost Nigeria ni ovyo alafu mnaongeza kama tu Kenya. Sijayasema haya maneno. Ni maneno yenu wenyewe.
Wapi tunapolia? Umesikia Tanzania tumekosa Kwa kuuza mahindi?Sasa mbona mnalia? Si huwa mnasema mnatulisha? Sasa tukiwapunguzia mzigo wa kutulisha tena mnalia?🤣🤣
Naona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.Wapi tunapolia? Umesikia Tanzania tumekosa Kwa kuuza mahindi?
Hoja ni ujinga na upumbavu wa mtu mweusi kwenda kuagiza ngano Kwa bei ya Juu harafu jirani yake anayo akihisi anamkomoa.View attachment 3310079
Hiyo siyo harusi pekee kijana, is a bussiness event. Hapo ni fashion show, hao watanzania watapata deals kubwa sana za kimataifa. Ushamba bado umewajaa wakenya. Kwa sasa Tanzania sherehe ni business event.Yani harusi pekee inawafanya mnarukwa na akili hivi? Halafu ni Ile Ile Nigeria ambayo huwa mnasema ni ovyo sawa na Kenya ndio mnashobokea hivo?🤣🤣
Mkiacha tutauza congo, rwanda, S. Sudan na Burundi. Kenya mean nothing to TanzaniaNaona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.
Nageuzaje mjadala? Wewe si ndio umesema tunalia? Wewe si ndio unalazimisha tuonekane tumekosa soko? Ndio nauliza wapi ambapo umesikia tunalia?Naona unajaribu kugeuza mjadala. Endeleeni kulia. Tutaacha kununua kwenu mahindi kabisa ndio mlie zaidi.