Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The average man stops growing in height at 18, unless you're 20 years old now, you're still a dwarf. Libaba limemea ndevu alafu linasema picha lilipiga likiwa litoto. Picha zenyewe umepost humu mwenyewe last year. You're a dwarf bro. Jikubali. Kunipiga Kofi ya uso labda ubebwe na Geza Ulole
Inakuwaje tena unataka kuchapwa kofi hoja zimekushinda? 😉 👆 👆 😉
 
I suspect this Wedding....

View: https://x.com/KenyanSays/status/1913820496472244702

MY TAKE

View: https://youtu.be/CSNynoAiY_I?si=6HqvXmHibG5bXaXs

Ngoja akawachezeshe "sugar" wakina Raila na Ruto huko!

View: https://youtu.be/yp03C6j68a0?si=DRym7EqRX64dxeeQ

Kwani huko Ukunyani Willy Paula na Erick Omondi hawapo? Halafu naona Nandy kakodisha charter flight toka Auricair! Vp wale Wakunya waliokuwa wanasema hakuna ndege za kukodi?
CC: IamLee NairobiWalker Teargass Nicxie nairobae n mwathadan

Unanitag nini stori za umama bro… I really don’t care about showbiz..to bring the point home, I even don’t attend my first cousin’s weddings, high profile or not.. I suggest you retain the manhood left in you and leave such stories to the women bruv
 
May be an image of 3 people, cloud, street, road and skyscraper

May be an image of 1 person, road, street and skyscraper
 
Pia me sijawai ona wanaume wanafurahia harusi, maajabu. Hizo hua vako za madem.
Bana nakuanga tagged vitu za ati wasee wanaona broo. Like izo tabia sio familiar kwangu bana nime attend arusi ka mbili in my life na ilikuwa lazima 😂😂
No wonder unaskia ngoma zao ni za mapenzi na kulia tu
 
Inakuwaje tena unataka kuchapwa kofi hoja zimekushinda? 😉 👆 👆 😉
Alisema mwenyewe atanizaba makofi sasa nashangaa mtu mbilikimo kama huyo atawezaje kunizaba makofi? Yani hata nikisimama nimwachie anizabe bila resistance yoyote hatoweza.🤣 🤣
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Hiyo hapo ndiyo biggest Company in Kenya inatengenea faida ya Ksh 35,380.3M
Sawa na $270,270.27
Wakati Twiga Minerals inatoa dividend kwenye serikali ya Tanzania $800,000,000, tuambie faida itakuwa $ ngapi?

Hiki ndicho tulichokuwa tunaongea kijana. 🤣🤣🤣🤣
Mi naona kama tunabishananga na watu wanataka usaidizi coz warathese?
 
Kumbe hata kusoma financial statement huijui .
Mwaka wa fedha wa safaricom unaishia 31/03 ya Kila mwaka . Hapo report imeletwa ya mwaka2023/ 2024 kwenye report zote lazima wataleta na report ya mwaka uliopita ili upate vitu kama opening balance.
Kajifunze kutafsiri financial years. Hazisomwi kama maandazi
Report ya 2024/2025 haiwez kuwa imetoka sasa hivi ndo kwanza wanafunga hesabu itarajie baada ya miezi miwili mburula.
Na bado hamtakuwa na faida hata ya 450mil

Nincompoop
You are a cow, what does 2024 Full year means? Kweli wewe ni ng’ombe.

IMG_1392.png
 
Back
Top Bottom