Maskini hana purchasing power, tulia na umaskini wenu.Sifa ya maskini siku zote ni kujikweza , hatushangai maana mara nyingi maskini anataka ajulikane kuwa yupo
Maskini hana purchasing power, tulia na umaskini wenu.Sifa ya maskini siku zote ni kujikweza , hatushangai maana mara nyingi maskini anataka ajulikane kuwa yupo
Eti purchasing power ebu tuoneshe mapato ya Airtel ,voda ,Maskini hana purchasing power, tulia na umaskini wenu.
Kalipeni kwanza salaries ya county officer wenuMaskini hana purchasing power, tulia na umaskini wenu.
Hawa kutembea hawatembei ndo maana Kila siku wanapost project Moja tu. Wanashindwa hata kusoma taarifa za mapatoKwaiyo Kwa kibera hili ndo bonge la view?
Kuna mwenye alikuomba pesa?Kalipeni kwanza salaries ya county officer wenu
🤣🤣🤣😂Kuna mwenye alikuomba pesa?
Wanaandamana wanatuchafulia mazingiraKuna mwenye alikuomba pesa?
Haya fanya conversion tukuoneYani wachawi wanaweka tu figures za goods exports pekee bila kuweka Services alafu wanapiga kelele ati wanatushinda. Nataka fala mmoja anionyeshe any service here.
10months figure.
View attachment 3311200
Fanya conversion tuoneYani wachawi wanaweka tu figures za goods exports pekee bila kuweka Services alafu wanapiga kelele ati wanatushinda. Nataka fala mmoja anionyeshe any service here.
10months figure.
View attachment 3311200
Dar is a slum is very slow, can't catch up with Nairobi's fast pace. 🤣 🤣
View: https://x.com/MissKiaga/status/1909606287144263948
KachanganyikiwaUmeelewa alichoandika? Actually kasifia Dar round the clock vibing! from groceries n security to free WIFI!
Huyu jamaa nairobae ni falamanga sana! Hata kizungu kinamshinda japokuwa huwa wanajisifu humu ndani!Kachanganyikiwa
Kwikwi wanatuletea data za export kumbe wanaexport 6bil usdHuyu jamaa nairobae ni falamanga sana! Hata kizungu kinamshinda japokuwa huwa wanajisifu humu ndani!
Umeelewa alichoandika? Actually kasifia Dar round the clock vibing! from groceries n security to free WIFI!
View: https://x.com/melanin_afrique/status/1909923426640293930
Kwahiyo unakubali mko addicted kwenye cokeDamn why are bongolalas so slow. OMG
The first part of the sentence inasema Nairobi is like Dar on coke. Yani Nairobi ni kama Dar on cocaine, in short ukitumia coke hua umechangamka more than usual. Waaaaa mbona mnakuanga slow hivi lakini.
Sema tu hujui coke hapo ilikua inamaanisha nini. Haikua coca cola we mzee. 🤣 🤣 🤣Huyu jamaa nairobae ni falamanga sana! Hata kizungu kinamshinda japokuwa huwa wanajisifu humu ndani!