Alienda kutafuta Cassypool after watu wa Eldoret wamlenge ju hawakua wanamjua. Hata mimi huyo Jay Melody simjui.Tunaendelea kuwatawala Kundustan kwenye nyanja zote za kiuchumi Hadi kijamii ππ
View: https://www.instagram.com/p/DIrbpxyIWF9/?igsh=d3F5Mm53bno1Y21m
Excuses π πAlienda kutafuta Cassypool after watu wa Eldoret wamlenge ju hawakua wanamjua. Hata mimi huyo Jay Melody simjui.
Inakuwaje tena unataka kuchapwa kofi hoja zimekushinda? π π π πThe average man stops growing in height at 18, unless you're 20 years old now, you're still a dwarf. Libaba limemea ndevu alafu linasema picha lilipiga likiwa litoto. Picha zenyewe umepost humu mwenyewe last year. You're a dwarf bro. Jikubali. Kunipiga Kofi ya uso labda ubebwe na Geza Ulole
Unanitag nini stori za umama broβ¦ I really donβt care about showbiz..to bring the point home, I even donβt attend my first cousinβs weddings, high profile or not.. I suggest you retain the manhood left in you and leave such stories to the women bruvI suspect this Wedding....
View: https://x.com/KenyanSays/status/1913820496472244702
MY TAKE
View: https://youtu.be/CSNynoAiY_I?si=6HqvXmHibG5bXaXs
Ngoja akawachezeshe "sugar" wakina Raila na Ruto huko!
View: https://youtu.be/yp03C6j68a0?si=DRym7EqRX64dxeeQ
Kwani huko Ukunyani Willy Paula na Erick Omondi hawapo? Halafu naona Nandy kakodisha charter flight toka Auricair! Vp wale Wakunya waliokuwa wanasema hakuna ndege za kukodi?
CC: IamLee NairobiWalker Teargass Nicxie nairobae n mwathadan
Kwanini tupigizane kelele na vikampuni vya kuuza ubuyu mzee.? π€£π€£π€£And which is the most profitable company in Bongoslum? How much did they make?
Shugulika na umbea na picha za harusi, it's clear hakuna kampuni hata moja bongoslum with such profits.Kwanini tupigizane kelele na vikampuni vya kuuza ubuyu mzee.? π€£π€£π€£
Profit ipi.? hiyo ya biashara ya ubuyu.? π€£π€£π€£Shugulika na umbea na picha za harusi, it's clear hakuna kampuni hata moja bongoslum with such profits.
Bana nakuanga tagged vitu za ati wasee wanaona broo. Like izo tabia sio familiar kwangu bana nime attend arusi ka mbili in my life na ilikuwa lazima ππPia me sijawai ona wanaume wanafurahia harusi, maajabu. Hizo hua vako za madem.
Hiyo iliuziwa mtu mwingine wewe mzee.Anamaanisha Hima cement iliyokuwa chini ya Bamburi!
Alisema mwenyewe atanizaba makofi sasa nashangaa mtu mbilikimo kama huyo atawezaje kunizaba makofi? Yani hata nikisimama nimwachie anizabe bila resistance yoyote hatoweza.π€£ π€£Inakuwaje tena unataka kuchapwa kofi hoja zimekushinda? π π π π
Hakuna kitu anapata Uganda.yes 70% is already sold n now mwanaume Amsons group wants to buy the rest n probably buy them out!
Iβm done with this guy πππHizi ndio mnaona leo.? π€£π€£π€£soma tarehe hiyo. ππΎView attachment 3310887View attachment 3310889tochi za barabarani hizo Ndio tunaita huku bongo.
Only ongoing project in Kenya ndo maana viongoz wenu wanakuja kujifunza efficiency tanzania
Mi naona kama tunabishananga na watu wanataka usaidizi coz warathese?π€£ π€£ π€£ π€£ Hiyo hapo ndiyo biggest Company in Kenya inatengenea faida ya Ksh 35,380.3M
Sawa na $270,270.27
Wakati Twiga Minerals inatoa dividend kwenye serikali ya Tanzania $800,000,000, tuambie faida itakuwa $ ngapi?
Hiki ndicho tulichokuwa tunaongea kijana. π€£π€£π€£π€£
You are a cow, what does 2024 Full year means? Kweli wewe ni ngβombe.Kumbe hata kusoma financial statement huijui .
Mwaka wa fedha wa safaricom unaishia 31/03 ya Kila mwaka . Hapo report imeletwa ya mwaka2023/ 2024 kwenye report zote lazima wataleta na report ya mwaka uliopita ili upate vitu kama opening balance.
Kajifunze kutafsiri financial years. Hazisomwi kama maandazi
Report ya 2024/2025 haiwez kuwa imetoka sasa hivi ndo kwanza wanafunga hesabu itarajie baada ya miezi miwili mburula.
Na bado hamtakuwa na faida hata ya 450mil
Nincompoop
Ninyi level yenu ni Burundi, nothing is working in that Shithole