Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do these Vilaza have anything original to show off or is it just do as Kenya does philosophy..🀣🀣
Wewe mapumbu heb tuonyesheni basi hizo BRT zenye mnadai tume wa copy.. 🀣🀣🀣🀣 hii ndio style mpya ya ku copy mnatuelezea tangu dunia iumbwe. Umekopiwa kitu chenye huna. 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wewe mapumbu heb tuonyesheni basi hizo BRT zenye mnadai tume wa copy.. 🀣🀣🀣🀣 hii ndio style mpya ya ku copy mnatuelezea tangu dunia iumbwe. Umekopiwa kitu chenye huna. 🀣🀣🀣🀣🀣
Wameanza ujenzia brt 2021 brt Tanzania imeanza kufanya KAZI 2015 ndo uone wakenya walivyo wajinga
 
Tukiwaambiaga wakenya hamnaga akili mnaona tuwaonea

The Nairobi Bus Rapid Transit (BRT) system commenced construction in 2018. The first phase of the project, including the 19.5 km Thika Road corridor, was inaugurated in July 2022. The second phase, spanning 20 km of the Kenyatta Avenue/Ngong Road corridor, is planned to be completed later in the year.
Yaan ujenzi ukaanza mwaka mmoja baada ya magufuli kuzindua na bado mkachemka aibu

Benki ya Dunia yasifu Tanzania na mradi wa BRT​


Facebook Twitter Print Email
25 Januari 2017

Nchini Tanzania leo kumefanyika uzinduzi wa awamu ya kwanza ya mradi wa usafiri wa haraka wa mabasi, BRT uliotekelezwa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia kwa lengo la kuondoa msongamano wa magari na hivyo kuharakisha huduma na ustawi wa jamii.
Akizindua mradi huo jijini Dar es salaam, Rais wa Tanzania John Magufuli ameshukuru benki hiyo na kuomba ifanikishe mchakato wa mkopo wa ujenzi wa barabara za juu na kwa wasimamizi wa BRT..
(Sauti ya Magufuli)
Naye Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kanda ya Afrika Makhatar Diop amesema BRT imeanza kuleta nuru maeneo ambako inapita na kwa kuwa ifikapo mwaka 2050 nusu ya idadi ya watu wa Tanzania watakuwa wanaishi mijini ..
 
You are making tones of subjective claims fully convinced that you are being objective ..you know that means you need a psychotherapist appointment right?
Kwikwi brt imeanza Tanzania imeanza ujenzi 2012 kipindi hata hamjawa na fikra ya brt mkaja kuanza ujenzi 2020 na bado mpaka sasa haijazinduliwa
 
You are making tones of subjective claims fully convinced that you are being objective ..you know that means you need a psychotherapist appointment right?

Pray to God for food assistance so that when you have children they will have beautiful faces like those of Tanzanians.
 
Pray to God for food assistance so that when you have children they will have beautiful faces like those of Tanzanians.
Subjective argument- dude is it so hard to figure out what i am talking about? Ulienda shule kweli?
 
Kwikwi brt imeanza Tanzania imeanza ujenzi 2012 kipindi hata hamjawa na fikra ya brt mkaja kuanza ujenzi 2020 na bado mpaka sasa haijazinduliwa
what does that have to do with quoting me ama unafikiria ni mimi nimesema hivo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyinyi wote mnafaa kufungwa ni kama mlihepa rehab πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe mapumbu heb tuonyesheni basi hizo BRT zenye mnadai tume wa copy.. 🀣🀣🀣🀣 hii ndio style mpya ya ku copy mnatuelezea tangu dunia iumbwe. Umekopiwa kitu chenye huna. 🀣🀣🀣🀣🀣
There you go again.. English comprehension issues. Kenya BRT was proposed enzi za Moi ( JAICA - Japan did a comprehensive feasibility study) .. Kibaki regime took over. When Thika Highway was constructed , ( BRT was included in the road planning)… Kibaha Highway was your response to Thika Highway ( you already knew that). I give you credit that when you copy Kenya , sometimes you go an extra mile to make your project better ( that’s why you wait , we do first). The following projects were copied straight outta Kenya but with improved planning
Modern farmers markets
Kibaha Highway ( better BRT space than Thika)
And many more ……….
 
Then, show us that proposal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…