ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
kawafungua sana macho kumbe china yao iko tanzania 😂😂😂😂
View: https://vm.tiktok.com/ZNdYnJ2HW/
View: https://vm.tiktok.com/ZNdYnJ2HW/
ayaaaaa haya amka sasa ushalimwaga😂Financed by KCB.
Lakini kuuliza,hivi dar es salaam inakuaje watu wanaishi CBD..kwani mji wenu hamuna residential areas na CBD..alafu building zimechapaa..bana pakeni rangi majumbaa zenu..
View: https://www.youtube.com/watch?v=A7A56R0fGT8
Investment gani mmefanyaIMF can’t give you loan if you don’t cooperate, so waache kusema ati GDP yao ni ndogo because hawapei IMF figures zao😂😂🤣
Investments zenye mnafanya saa hii sisi tulishafanya kitambo, sasa sijui unaongelea nini.
So yenu ni ya halali ila yetu ni ya kuchemshwa!🤔🤔🤔2026 wakati WB wanatoa data za 2025 tutakuwa USD 90bln so wewe wait hiyo June utapata majibu kamili.
Mwenye video ndio amesema hapo ni City Center (CBD). Bongolala munapenda excuses.tofautisha CBD na kisutu kwanza kenge albino wewe😂😂
Ya kwenu imeongezeka sana yaani wameongeza sifuri wakati ukuaji wa Uchumi ni mdogo kuliko 🇹🇿🤣🤣So yenu nii ya halali ila yetu ni ya kuchemshwa!🤔🤔🤔
Ama nyinyi pia mnachemsha kama sisi?
Sisi tumeongeza sifuri ni sawa. Nyinyi mumeongeza sifuri, mbili au nne?Ya kwenu imeongezeka sana yaani wameongeza sifuri wakati ukuaji wa Uchumi ni mdogo kuliko 🇹🇿🤣🤣
Yaani uchumi wa Ethiopia umeshuka toka $192b hadi $116b?kwani hiyo list imesema top 10 au anything? You think we cannot tinker with our exchange rates like you to prop up our GDP?
Eti na Uchumi wa Nigeria nao umeshuka 😂😂Yaani uchumi wa Ethiopia umeshuka toka $192b hadi $116b?
Kenya uchumi wao imepanda toka $104 hadi $133b? Kwamba wameongea GDP ya $29 within a year? Kwa investments gan wamefanya kenya? Bus nchi yao uchumi wao unakua kuliko nchi zote Duniani. Then Ruto is the best president ever. Wasimuachie aisee. Amefanya wonders kwenye uchumi
Nb. Magufuli alikataaga huu ujinga. We need real economic developments on the ground sio only economic growth
Tanzanians and understanding economics ni kama maji na mafuta.Yaani uchumi wa Ethiopia umeshuka toka $192b hadi $116b?
Kenya uchumi wao imepanda toka $104 hadi $133b? Kwamba wameongea GDP ya $29 within a year? Kwa investments gan wamefanya kenya? Bus nchi yao uchumi wao unakua kuliko nchi zote Duniani. Then Ruto is the best president ever. Wasimuachie aisee. Amefanya wonders kwenye uchumi
Nb. Magufuli alikataaga huu ujinga. We need real economic developments on the ground sio only economic growth
You have poor understamding of world economics. Nigerian currency is the second worst perfoming currency in Africa after ya Tanzania. Go and check their currency depreciated by how much against the dollar in the past one year alafu urudi tuongee.Eti na Uchumi wa Nigeria nao umeshuka 😂😂
Ndio maana nimesema hizi takwimu za outlook ni uongo na huwa sipendi kuzitumia Kwa sababu hazikupi actual figures Bali Matarajio.
Tusubirie takwimu halisi July za WB.
PPPYou have poor understamding of world economics. Nigerian currency is the second worst perfoming currency in Africa after ya Tanzania. Go and check their currency depreciated by how much against the dollar in the past one year alafu urudi tuongee.
School these dimwits. Kazi yao ni kumwaga tu emotions bila kufikiria.You have poor understamding of world economics. Nigerian currency is the second worst perfoming currency in Africa after ya Tanzania. Go and check their currency depreciated by how much against the dollar in the past one year alafu urudi tuongee.
Same with the Ethiopian birr.You have poor understamding of world economics. Nigerian currency is the second worst perfoming currency in Africa after ya Tanzania. Go and check their currency depreciated by how much against the dollar in the past one year alafu urudi tuongee.