instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,612
- 19,818
Kumbe ukweli unaujua. Ni ishu tu za currency.Tanzanians and understanding economics ni kama maji na mafuta.
Mbona usijuilize why Kenyan GDP decreased from $116B in 2022 to $104B in 2023? I think you people don’t understand the power of currency depreciation/Appreciation here. Nyinyi mnadhani GDP ni tu investments, kwanza investments zenyewe pesa zote zinaenda kwa foreign contractors.
So sioni sababu ya kufurahia huu upupu.
Congrats yourself when you open a project that benefit kenyans. Nimeona barabara ya mogodashe huko Northern kenya inakaribia kuisha, hio ndo nawapongeza sio hizo Data za makaratasi. Siku mfikishe SGR malaba watu mwende malaba kwa treni kupunguza ajali zinazoua wakenya kila siku. Siku mjenge Airport mpya hapo Nairobi.
Hapo nchi ya Tanzania ndo inawapiga gap. Uchumi toka 2023 umeongezeka Dollar 5b tu. But look at infrastractures zilizofunguliwa kwa public from 2023 to 2025.
Uchumi wa Nigeria uliokuwa unakaribia $500b sasa umeshuka hadi $199b. What happened in Nigeria hadi uchumi kushuka namna hiyo.
Na huu mwaka hadi uishe you will see a lot of new infrastractures in Tanzania kuanzia new ships, treni za mizigo, new Airports, new BRT system etc. Endeleeni kufurahia GDP