Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si railway ya Tz inaelekea Burundi? Ama Burundi siku hizi sio jirani yenu?
Kabanga in kigoma , sgr Tanzania itakosa mzigo ATI


Kabanga Mineral Resource estimate as of December 4, 2024 as attributable to Lifezone (69.7% of total) of 46.8 million tonnes (Measured and Indicated resources) at 2.09% nickel, 0.29% copper and 0.16% cobalt and additional 11.3 million tonnes (Inferred resources) at 2.08% nickel, 0.28% copper and 0.15% cobalt.1,2, 3, 4, 5
 
Si ukona Google kwa simu yako, make use of it.
Does this look like a phone to you, do you think everyone is as hungry and chokoraa as Kenyans?

1745428194919.png
 

Attachments

  • 1745428178216.png
    1745428178216.png
    103 KB · Views: 27
Rais wako yuko china anaomba mkopo,miradi yenu yote ya sasa ni mchina,mchina ana xpress way anachukua pesa ndani ya miaka zaidi ya 10,nani hapo mkoloni wake mchina
Expressway ni project ya billions na ikona manufaa kubwa Kwa Kenyan economy. Huwezi compare na hao wachina wanafanya hawking dar is a slum.
 
Expressway ni project ya billions na ikona manufaa kubwa Kwa Kenyan economy. Huwezi compare na hao wachina wanafanya hawking dar is a slum.
Unakatwa ww si bure,so mchina aweke pesa yake nyingi kwa kusipokua koloni lake!uwepo wa wafanyabiashara wa kichina hapa TZ ni nafuu kubwa kwetu,TZ kwa sasa ni kimbilio la nchi nyingi zinazotuzunguka kwa kuwa na vitu quality nzuri na bei rahisi,kunyan wenzako wamejaa kkoo
Screenshot_20250418-123916.jpg
 
Back
Top Bottom