Hizo za Kenya ukiangalia hata kwa macho unapata wasiwasi mkubwa reality haiendani na data wazee wa kupika kutenga na kujustify.Most metrics ya Kenya vs Bongoslum lazima Kenya ikue twice more. Here is another one for power distribution network length. Na vile nchi yao ni kubwa. 🤣🤣😆
View attachment 3314170
View attachment 3314166
Hizo za Kenya ukiangalia hata kwa macho unapata wasiwasi mkubwa reality haiendani na data wazee wa kupika kutenga na kujustify.
Haya mtuambie ziko wapi hizo 310K of power network
View attachment 3314252View attachment 3314253
Naipori ni ndogo sana wala haifai kuitwa metropolitan city maana maeneo yote mnayosema ni metropolitan areas ziko county nyingine na sio part of Naipori.Leo hii mmejua meaning ya Metropolitan na tukiwaambia Nairobi Metropolis ni kubwa kuliko Dar Metropolis mnajifanya wajinga eti - "Nailobi lazima uunganishe Machakos, Kajiado na Kiambu ndio ifikie Dasilinga" 🤣 🤣
Duh kmmake WTF.They copied Lamu port ( but got stuck)
They copied Tanganyika national team name. After we named ours Harambee stars , they picked Taifa stars ( notice , the English part)
They copied Affordable Housing ( trying to)
They copied Huduma digital government services
They copied modern markets ( but definitely did a better job)
I can go on…
is like saying Dar Metropolis iunganishe Pwani na Morogoro huo ni ujinga kabisa.Leo hii mmejua meaning ya Metropolitan na tukiwaambia Nairobi Metropolis ni kubwa kuliko Dar Metropolis mnajifanya wajinga eti - "Nailobi lazima uunganishe Machakos, Kajiado na Kiambu ndio ifikie Dasilinga" 🤣 🤣
Ndugu wakigombana usiingilie we kima''EASII sio ndugu zetu, sadiki ndio ndugu zetu halisia" and other stories. 🤣 🤣 🤣 🤣
Unataka kuweka mashambani ikue ikue metro area. Maajabu. 🤣 🤣 🤣is like saying Dar Metropolis iunganishe Pwani na Morogoro huo ni ujinga kabisa.
Kumbe huelewi , hiyo ni kwa ajili ya sgr tu, kusafirisha tuNickel si itaibwa tu na mikora miafrika na Wazungu. Ukiondoa Botswana nchi gani hapa Afrika ishaawai tajirika kwa migodi na hizi serikali zetu za ovyo.
Nani alisema?Si huwa mnasema Kenya ndio nyoka pekee, nyie hamchokozani na majirani ama huwa naskia vitu zangu? 🤣
wewe umetaka kuona pale Tanesco wamesema peak demand ni 1800MW mimi nimekuwekea ya 1908MW for your convenience sasa huko kushinda Kenya kumetoka wapi? Did I say anything like that?Kwa hivyo mumeshinda Kenya? 🤣 🤣 🤣 Nyef nyef ndio mnayo mingi.
Huwa anaruka ruka kama kuku mwenye mdondo, ukimnyuka kwenye hii anarukia nyingine.wewe umetaka kuona pale Tanesco wamesema peak demand ni 1800MW mimi nimekuwekea ya 1908MW for your convenience sasa huko kushinda Kenya kumetoka wapi? Did I say anything like that?
Kenya haipo ldc sababu ya kutoa fake data za population, ni population factor ndio inaamua yupi awe wapiBridge moja au mbili sio measures za kuwatoa kwa LDC, heri mngeshughulikia quality of life and wealth distribution kwanza
You don’t just build a “not so fancy bridge” then expect to go to middle income
If that was the case, Rwanda could be a high income nation
Kigali
View attachment 3313897
View attachment 3313898
Ethiopia could be miles away
Addis
View attachment 3313901
GDPs are temporary huwa zina flactuate mara kwa mara. what matters is the enterprise value that's why unashangaa exports kubwa TZ kuliko Kenya, pia the Govt of Tz can do many projects which are big compared to KE govt hii inaakisi value ya enterprise achana na uchawi wa WB na IMF. siku tukiweza lets say kutohitaji dollar kwa wingi TZS ikapanda thamani GDP inaweza ika double overnight tuu so hayo ni maswala madogo sana hayatuumizi kichwa kwa sasa sisi tuendelee tuu na kujenga misingi ya uchumi imara GDP tuwaachie wao.Ili ujue hizi GDP ni usenge angalia Tanzania ina export business worth of 16B$ lakini Kunyaland inayoexport 8B$ almost equal to Burundians eti ina GDP kubwa 😂😂😂
Which higher standard ya kupewa chapati ama?Because Kenyans hold their leaders at higher standards. A major project here and there is not enough. Kenyans want the bang for their buck. After all it’s their taxes doing the work not President’s personal offering. That’s what separates Kenyan mentality from that of Tanzanians . Nyinyi mnalipa taxes halafu mnaweka picha ya mama to worship ..🤣🤣
Inashangaza kwenye kila content inayoisema vizuri Tanzania utawakuta wakenya wengi sana wanaitrash mfano ni hili saga la Malawi na SA, wakenya wengi wapo upande wa Malawi na SA lakini hutokaa uone watanzania wakisema chochote kwenye lolote linalohusu Kenya hata comments zetu hutozionaWanaiogopa Tz kama ukoma. Wako busy Mitandaoni bad mouthing Tz. Ikitokea mtu mmoja akaitrash Tz basi wakenya wote watamsaport na kutoka shuhuda za uongo.
Tazama hii video comments 90% ni za wakenya bad mouthing Tz.
Sema baadae huyo jamaa aliyekuwa anasema vibaya Tz, iligundulika ni scammer na alifungwa mara tatu Tz. sijui walifichaga wap sura zao
View: https://youtu.be/xJtsdnZJKSk?si=ieLvEPJAGGSeDlKj
View: https://www.youtube.com/live/rU-I3MNeudQ?si=NGnFixLzDQcwZzDZ
kwani huoni ki line kinacho elekea Ethiopia hapo tena ni Ki line cha DC.😁 usiingie ubaridi mzee endelea kukumbatia ba kujiliwaza na vidata vyenu tuu.Kwa hivyo hakuna transmission line from Ethiopia? Endeleeni kujiliwaza na old maps.
Rudi shuleis like saying Dar Metropolis iunganishe Pwani na Morogoro huo ni ujinga kabisa.
You're no more closer to Malawians or South Africans than Kenya is.Ndugu wakigombana usiingilie we kima