Sio competetive ni ligi ya timu dhaifu.Very competitive league, kuna watu league yao this season ni ya team moja. 😂😂😂
View attachment 3317837
Hio ni ligi yenu ya team mbili.Sio competetive ni ligi ya timu dhaifu.
Ungejua vile hizo body za KVM huwa inaniudhi, wakati wenzao are changing with the trend hao bado wamekwama kwa shapes za 2000’s😂😂😂🤣Sure. KVM are good in assembly but their body designs are whack. They need to up their game.
Chuchunge umeshaflash ubongo si mnachukua mizigo huku ya vitu, risiti hizi
View: https://vm.tiktok.com/ZMBvC2MQa/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
View: https://vm.tiktok.com/ZMBvQWVov/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
View: https://vm.tiktok.com/ZMBvC61e5/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
View: https://vm.tiktok.com/ZMBvQ7CDU/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
I saved you nyundo from WAKIMANITV.
Usisahau Chupi zako na Sama boy 255
Kenya Mpya. 😂Ungejua bile hizo body za KVM huwa inaniudhi, wakati wenzao are changing with the trend hao bado wamekwama kwa shapes za 2000’s😂😂😂🤣
GDP kubwa Karne hiii hakuna traffic lights kwa karibia mwaka 😝😝😝😝Command Center ishaanza kujengwa, wewe baki hapo na vitu vya zamani yet Nairobi is getting an upgrade.
Wanafaa kuenda bemchmarking Masters, Banbros or LSHS.Kenya Mpya. 😂
Umeoga leo?View attachment 3317862
Sawa kibera walker
Hawa nyangau barabara zao zote hazina mataa ya barabaran wanaleta picha za maghorofa ya wasomali tuView attachment 3317862
Sawa naikundudwellers
"Kunyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa." na story zingine. 😂😂😂
View: https://x.com/teyakevin/status/1916558409828049062?s=46
"Kunyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa." na story zingine. 😂😂😂
View: https://x.com/teyakevin/status/1916558409828049062?s=46
Nishakuambia hizo traffic lights za kitambo tumewawachia. Sisi sahii tunatumia za AI na phase 1 inaelekea kukamilika then tuingie phase 2.GDP kubwa Karne hiii hakuna traffic lights kwa karibia mwaka 😝😝😝😝
Kumbe ndo mnaaanza kujenga ebu tuletee zinazofanya KAZI tuone.
Hivi mnavukaje barabara bila kuwa na traffic lights🤣🤣🤣🤣
Sasa gawanya uone ni shi ngapi wamelipa kwa kiingilio. 😂😂😂Hii ni kama 10 million Tz money. 🤣🤣🤣🤣 yaani ni viingilio vya watu 1000 vya 10k. Hawa ni wazee wa kelele tu.
GDP kubwa kweli Iko kwa makaratasi nilitegemea nione kitu kama usd 300,000 kwa mechi maana Wana GDP kubwa kumbe wanazidiwa na babu seyaHii ni kama 10 million Tz money. 🤣🤣🤣🤣 yaani ni viingilio vya watu 1000 vya 10k. Hawa ni wazee wa kelele tu.
"Kunyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa." na story zingine.
Weekend ikafika 😂😂😂
View: https://x.com/teyakevin/status/1916558409828049062?s=46