concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Mauzo ya ticket za mpira kwa mechi yanazidiwa na mauzo ya katarama bus service dar -bukoba kwa mabasi mawili tu.Mi nangoja matumizi ya Talanta stadium baada ya Afcon 2027! Ikumbukwe uwanja ule ni kwa ajili ya soka tu!
Ina maana katarama akiamua kuingiza mabasi sita kwa siku anaweza mnunua mpaka refa na akawalipia mashabiki wote chakula cha siku mzima kenya