concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Hamna kitu cha kujitapia mnaproject zisizozid mbili sisi tuna project zaid ya kumi zinaendelea na hatupigi kelele kama nyinyi.Hatupigi kelele bro, tumetulia tukiwaangalia mnavyotoa machozi za chuki 😂😂😂
Mfano tu tukichukia project Moja tu ya sgr Dom tu kigoma inabeba project zenu zote kwa miaka miwili