Sio competetive ni ligi ya timu dhaifu.Very competitive league, kuna watu league yao this season ni ya team moja. πππ
View attachment 3317837
Hio ni ligi yenu ya team mbili.Sio competetive ni ligi ya timu dhaifu.
Ungejua vile hizo body za KVM huwa inaniudhi, wakati wenzao are changing with the trend hao bado wamekwama kwa shapes za 2000βsππππ€£Sure. KVM are good in assembly but their body designs are whack. They need to up their game.
Chuchunge umeshaflash ubongo si mnachukua mizigo huku ya vitu, risiti hizi
View: https://vm.tiktok.com/ZMBvC2MQa/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
View: https://vm.tiktok.com/ZMBvQWVov/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
View: https://vm.tiktok.com/ZMBvC61e5/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
View: https://vm.tiktok.com/ZMBvQ7CDU/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
I saved you nyundo from WAKIMANITV.
Usisahau Chupi zako na Sama boy 255
Kenya Mpya. πUngejua bile hizo body za KVM huwa inaniudhi, wakati wenzao are changing with the trend hao bado wamekwama kwa shapes za 2000βsππππ€£
GDP kubwa Karne hiii hakuna traffic lights kwa karibia mwaka ππππCommand Center ishaanza kujengwa, wewe baki hapo na vitu vya zamani yet Nairobi is getting an upgrade.
Wanafaa kuenda bemchmarking Masters, Banbros or LSHS.Kenya Mpya. π
Umeoga leo?View attachment 3317862
Sawa kibera walker
Hawa nyangau barabara zao zote hazina mataa ya barabaran wanaleta picha za maghorofa ya wasomali tuView attachment 3317862
Sawa naikundudwellers
Wamekusanya jumla usd 3700 hela ambayo haitoshi hata kumlipa babu seya kwa show"Kunyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa." na story zingine. πππ
View: https://x.com/teyakevin/status/1916558409828049062?s=46
Hii ni kama 10 million Tz money. π€£π€£π€£π€£ yaani ni viingilio vya watu 1000 vya 10k. Hawa ni wazee wa kelele tu."Kunyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa." na story zingine. πππ
View: https://x.com/teyakevin/status/1916558409828049062?s=46
Nishakuambia hizo traffic lights za kitambo tumewawachia. Sisi sahii tunatumia za AI na phase 1 inaelekea kukamilika then tuingie phase 2.GDP kubwa Karne hiii hakuna traffic lights kwa karibia mwaka ππππ
Kumbe ndo mnaaanza kujenga ebu tuletee zinazofanya KAZI tuone.
Hivi mnavukaje barabara bila kuwa na traffic lightsπ€£π€£π€£π€£
Sasa gawanya uone ni shi ngapi wamelipa kwa kiingilio. πππHii ni kama 10 million Tz money. π€£π€£π€£π€£ yaani ni viingilio vya watu 1000 vya 10k. Hawa ni wazee wa kelele tu.
GDP kubwa kweli Iko kwa makaratasi nilitegemea nione kitu kama usd 300,000 kwa mechi maana Wana GDP kubwa kumbe wanazidiwa na babu seyaHii ni kama 10 million Tz money. π€£π€£π€£π€£ yaani ni viingilio vya watu 1000 vya 10k. Hawa ni wazee wa kelele tu.
Yaani kelele zoote hizi gate collection haijafika hata Tshs 10 mln! Mbona hata team za daraja la kwanza Tanzania zinakusanya zaidi ya KPL?"Kunyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa." na story zingine.
Weekend ikafika πππ
View: https://x.com/teyakevin/status/1916558409828049062?s=46