The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Mkuu yani hivyo viazi mviringo whether it's brown or regular white potatoes ndiyo vinalimwa kwa wingi sn huku Tanzania, wanachofanya wakenya ni u middlemen cz hao siku zote wameshazoea kazi za u argent. Wanachukua viazi Tanzania wanabandika labels wana export as Kenyan products, lkn hizo hila zao zote zimeshapigwa pini na Bashe, kilichobaki ni statistics za kitambo ndiyo wanatembea nazo, watuoneshe mashamba kama kweli wanalima hvyo viazi.Linapokuja swala la kilimo sisi always ndani ata top ten, top five or tunaongoza kwa zao lolote lile!
Zao la hivi halina sana soko Tanzania ndio maana halilimwi kwa sana. Viazi zinavyolika sana Tanzania ni Sweet potato.
View attachment 3318791
View attachment 3318790