Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

HVi kwanini serikali inachelewa kupandisha viingilio vya mbuga za kaskazini
Gharama za Safari, Safari Jeep, Hotels, Visa na Chakula na baadhi ya amenities ni kubwa.

Ukipandisha viingilio, utalii utakuwa gharama kubwa sana, watu watatafuta altenatives.

Ujue kuna altenatives kama Kenya, Naminia, South Africa.

Yale magari ya Safari (Safari Jeep, ni $250 per day)

Kiingilio, $60 (Non East African)

Hapo bado hotel na kama unataka kupanda Ballon.
 
Wewe ni andazi na uwezo wako wa comprehension ni mdogo sana

Unaweza kulinganisha number of intake ya shule kama hii ya Tanzania na hiyo ya Kenya.?

Tanzania


View: https://x.com/MpakaNdichi/status/1915326763673997315?t=ajuzDoX8AhJkiZqigCGVUg&s=19

Kunyaland View attachment 3319674

Anachoshindwa kuelwa ni kuwa our schools are big and accomodate more school children while theirs majority private owned with few class rooms hata ukiwa na two rooms unsajili shule Kenya.
 
Back
Top Bottom