Maskini wanarent hizo slums, middle class ndio landlords na wanaishii Kwa hizo slums pia. Hio ndio tofauti ya middle class na maskini huko dar is a slum. In terms of quality of life wote ni maskini tu. 🤣🤣🤣Ikiwa unatueleza kuwa haya ni maisha ya middle class heb tuonyeshe basi maisha ya maskini hapa Dar yanavyofanana. 🤣🤣🤣🤣