Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
According to you right.? 🤣🤣🤣Sasa hizo uswazi si ndio 80% ya Dar.
Skiliza mdogo wangu DSM kwenye baadhi ya maeneo haijajengwa kwa kutenga aina ya makazi ya watu. Ndani ya hizo uswazi zipo nyumba za kishua ambazo wewe unaishia kuona kwenye TV 🤣🤣🤣