wanapenda superficial projects ili iwa potray positively lakini wapi. siku zote nasema humu unlike Kenya Tanania is laying down foundation of a very strong and resilient economy tukianza kuingia kwenye exponential curve watajuta kuwa majirani zetu.Kila mtu anajua wakundustan kutoka Executive ( Rais na team yake ) Mpaka walamba tope. Ni midomo mirefu tu ndio wanayo.
View attachment 3320444