Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
According to you right.? 🤣🤣🤣Sasa hizo uswazi si ndio 80% ya Dar.
Unajitetea na picha zimejaa Kwa mtandao hazina flushing system. Ama unadhani sijui kuangalia shimo ya choo ina flushing system vile inakaa. 😄Flushing system huwezi kuiona, hapo kwasababu mhusika amepiga picha nusu.
Flushing system inakaa juu, una -pull maji yana-flushView attachment 3320586
Choo na jikoni nje ndio wengi wenu munajua. Hamjui modern living. 🤣🤣According to you right.? 🤣🤣🤣
Skiliza mdogo wangu DSM kwenye baadhi ya maeneo haijajengwa kwa kutenga aina ya makazi ya watu. Ndani ya hizo uswazi zipo nyumba za kishua ambazo wewe unaishia kuona kwenye TV 🤣🤣🤣
Kijamaa kimeendelea kuleta upumbavu wake 🤣🤣🤣 haya pitia account nyingine hii. Zote hizi zinapangisha watu ndani ya goba tu. 👇🏾. Login • Instagram.Choo na jikoni nje ndio wengi wenu munajua. Hamjui modern living. 🤣🤣
Jikoni na choo nje ndio wengi wenu mumezoea. 😄 Hapo Kwa amenities hata internet bado sio selling point huko dar is a slum. Rent nayo ni 6 months. Alafu hii Sasa ndio 1 bedroom ya kishamba huko dar is a slum. 🤣🤣🤣Kijamaa kimeendelea kuleta upumbavu wake 🤣🤣🤣 haya pitia account nyingine hii. Zote hizi zinapangisha watu ndani ya goba tu. 👇🏾. Login • Instagram.
Kama hazina flushing system, hizo ni pit latrines.Unajitetea na picha zimejaa Kwa mtandao hazina flushing system. Ama unadhani sijui kuangalia shimo ya choo ina flushing system vile inakaa. 😄
Come learn from Magufuli City. Achana na ngoma ya kitoto KonzaUnajua maana ya kujenga city from scratch au unaropokwa tu? Inajengwa with all amenities of a city, nyinyi tunajua huko kwenu hua mnatumia population ku award cities, that's why Mbeya ni City yet it's a village. Hatuwezi fanana.
Wewe utapost hizi nyumba moja moja kutetea point yako ila mimi titapost account nzima yenye post ya nyumba zaidi ya 1000. 🤣🤣 sasa hujioni kama wewe ni mpumbavu.? Nakuonyesha hizi ni nyumba hupangishwa na watu wa kawaida kabisaa, ambapo weww kutokana na umaskini wako unaona ni utajiri. Account ya nne hii. 👇🏾. Login • Instagram.Jikoni na choo nje ndio wengi wenu mumezoea. 😄 Hapo Kwa amenities hata internet bado sio selling point huko dar is a slum. Rent nayo ni 6 months. Alafu hii Sasa ndio 1 bedroom ya kishamba huko dar is a slum. 🤣🤣🤣
View attachment 3320606
Dar is a slum tunajua. 80%uswazi. Hawa wote hawajui modern living.Wewe utapost hizi nyumba moja moja kutetea point yako ila mimi titapost account nzima yenye post ya nyumba zaidi ya 1000. 🤣🤣 sasa hujioni kama wewe ni mpumbavu.? Nakuonyesha hizi ni nyumba hupangishwa na watu wa kawaida kabisaa, ambapo weww kutokana na umaskini wako unaona ni utajiri. Account ya nne hii. 👇🏾. Login • Instagram.
Unafananisha hiyo na kibanda cha bati huko kwenu?Slum house for sale in Tandale, Dar is a slum. @ksh 3 million. 🤣 🤣 🤣 Choo nje, maji nje, nyumba haina vioo Kwa madirisha ju unaweza kufa na joto, no internet, stima pia inakaa ya wizi ju hio ni connection wire gani sasa. Hii ndio maisha ya middle class in bongoslum. Munaishi primitive life in 2025 no wonder hua mko obsessed na slums kumbe hio ndio maisha mumezoea.
View attachment 3320432
Does Magufuli City have a pneumatic waste collection system? Haina, na ndio maana mlikuja Konza kujifunza and not the other way round.Come learn from Magufuli City. Achana na ngoma ya kitoto Konza
Kwani Dar yote ni hii.? 🤣🤣🤣 Dar is 3 times larger to Naipori. 🤣🤣🤣. Nairobi is only the size of kinondoni district. 🤣🤣Dar is a slum tunajua. 80%uswazi. Hawa wote hawajui modern living.
View attachment 3320609View attachment 3320610
Compare and contrastDar is a slum tunajua. 80%uswazi. Hawa wote hawajui modern living.
View attachment 3320609View attachment 3320610
Inayo acha ufala. 🤣🤣Does Magufuli City have a pneumatic waste collection system? Haina, na ndio maana mlikuja Konza kujifunza and not the other way round.
Kwa hio picha hata huoni mwisho ya hio slum. Majority munaishi hivyo.Kwani Dar yote ni hii.? 🤣🤣🤣 Dar is 3 times larger to Naipori. 🤣🤣🤣. Nairobi is only the size of kinondoni district. 🤣🤣
Very small hata mwisho inaonekana.Compare and contrast
View attachment 3320611
Kuna moja tu in Africa na iko Konza pekee.Inayo acha ufala. 🤣🤣
Maeneo descent in Dar ni 2 times or more than Naipori. Hako kaeneo labda ni kama 1/83 ya mji mzima.Kwa hio picha hata huoni mwisho ya hio slum. Majority munaishi hivyo.
🤣🤣🤣🤣 heb acha kwanza kutaja Africa. Utafungwa mzee.Kuna moja tu in Africa na iko Konza pekee.