Hivyo ndio CCM hua imewadanganya ju wengi wenu hamjawai fika Kenya. 🤣🤣 Hio 60% hata ni kidogo, ongezeni ifike 90%.Hivi unakwendaje mall ukitokea kwenye nyumba za mabati? Remember 60% of Nairobians (maybe including you😂) wanaishi kwenye nyumba za mabati🤣🤣🤣