Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhuru Stadium.
IMG_3471.jpeg
 
Unaya ya installing low quality products, Stadium hata haijamaliza a week and running inakaa ni Kama ilimwa😂😂🤣

View attachment 3321143
View attachment 3321146
****** wa mbwa wewe huoni kama hayo ni maji ya mvua.? 🤣🤣🤣🤣🤣 unataka pakuponea.?

Installation ya hizo run way they been done miaka miaka zilizopita and they will also be renovated. Zamani zilivyokua 👇🏾
IMG_6931.jpeg
during intallation of seats and canopy👇🏾
IMG_6933.jpeg
hiki kichaka nimekifyeka. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
wanapenda superficial projects ili iwa potray positively lakini wapi. siku zote nasema humu unlike Kenya Tanania is laying down foundation of a very strong and resilient economy tukianza kuingia kwenye exponential curve watajuta kuwa majirani zetu.
Majuzi niliongea na ndugu yangu mmoja yeye anafanya biashara zake kwenye nchi zote zinazotuzunguka, aliniambia sasa hivi, nchi hizi zinatuogopa sana.
 
Ni kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam maoni yake yanareflect walivyowachukulia nyinyi kama wakenya ni mara ya kwanza maoni kama hayo yanatolewa na kiongozi wa kampuni kubwa Vietnam , maneno kama hayo huwez yasikia yanatolewa kwa kiongozi wa Tanzania hasa baada ya mkutano tu.
Baada ya kutoka Vietnam rais wenu alivyo kilaza amekuja kuropoka eti Kenya Ina uhusiano na china wa miaka 600 wakati nchi kama Kenya Haina hata miaka 100 sasa kwanini tusiseme nyinyi ni mazumbukuku mnaoabisha Africa
Wachina kweli walikuwa wanafanya biashara na wenyeji wa pwani ya Afrika mashariki miaka zaidi ya 500 iliyopita. Kilwa kuna ushahidi wa sarafu za China.

Sasa kuna meli moja ya wachina ilipata dhoruba ikazama wakati wanarudi kwao, ndiyo waka settle pwani ya Kenya. Mpaka sasa Kuna kizazi cha hao wachina, ndiyo Ruto anajaribu kutumia hiyo kuwarubuni, wakati wenzoa wanawajua kuliko wanavyojijuwa.
 
Back
Top Bottom