concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
And yet they don't starve to deathPoorer countries (LDC) have low cost of living.
18.mil kati ya population ya 55mil kweli nyinyi matajiri🤣🤣🤣🤣Poorer countries (LDC) have low cost of living.
Sasa mbona hata hii uliyopost inayo plasta au wewe hujui plasta maan yake ni nini.? 🤣🤣🤣🤣 au unafosi tufanane.?👇🏾Nimefanya utafiti na nimegundua nyumba za dar na TANZANIA hazina plaster kwa nje na mabati ni chakavu👇View attachment 3325437
We kumbe ni zwazwa!?Hivo ndio mnavyoaminishwa. Kiukweli ni kwamba umaskini Tanzania upo, tena kwa wingi sana. Mimi Tangu nizaliwe sijaona yeyote akipewa chakula cha msaada. Chakula cha msaada hupewa maeneo ambayo yalikumbwa na instability kwa muda mrefu huko Northern Kenya na kuna wakaazi wachache sana hayo maeneo ila kwa sasa hiyo region imeanza kupata stability ndio maana siku hizi ni nadra upate wakiletewa misaada. Soon mambo ya misaada yatakuwa history.
Na usitudanganye, hapo kwenu watu wanapewa msaada wa chakula. Usidhani sisi wajinga.View attachment 3325120
Hvi izi basi chaji yake inadumu kwa umbali wa kiasi ganiBasigo Export to Rwanda.
That’s why lots of Americans in San Diego buy mansions across in Tijuana, Mexico and drive across the border to work every morning and back to Mexico in the evening . They live like Kings and queens due to the value of the dollar. In the future when Kenya becomes a first world nation, some Kenyans will probably reside across Namanga and isebania ( Hopefully TZ will still be LDC)..😂😂😂Poorer countries (LDC) have low cost of living.
Welcome back Kosugi. Punguza hasira. 🤝We kumbe ni zwazwa!?
Huo ni msaada wa swadaka tu kuhusu futari sio kuwa ni msaada wa balaa njaa kama ninyi Kenya mnaopewa msaada wa chakula kama nchi na WFP World food program.
JE Tanzania inapewa msaada wa chakula wa nchi kama Kenya na WFP!?
Tupe jibu.
Tumefanya utafiti tukagundua maghorofa ya Nairobi hayana plaster na nyumba nyingi zimejengwa kwa mabatiNimefanya utafiti na nimegundua nyumba za dar na TANZANIA hazina plaster kwa nje na mabati ni chakavu👇View attachment 3325437
Unaangalia sana movies za kivita. 🤣🤣🤣🤣🤣 ikiwa babaako America Hana future, anafinywa na mchina kila leo, wewe kibaraka maskini Ndio utakua na future. ?That’s why lots of Americans in San Diego buy mansions across in Tijuana, Mexico and drive across the border to work every morning and back to Mexico in the evening . They live like Kings and queens due to the value of the dollar. In the future when Kenya becomes a first world nation, some Kenyans will probably reside across Namanga and isebania ( Hopefully TZ will still be LDC)..😂😂😂
View: https://x.com/Ray_finest/status/1919355905725907451?t=8s5QKGmA9Z_hSqKqWYss_A&s=19Kwa hizi bei hawa watakufa yaan bei ya chini 166ksh sawa na 3480 wakati unga ukifika 2000 tsh inakuwa balaa
Gorofa za udongo. Huko kwao boraliitwe gorofa tu, hawana standards. 🤣🤣🤣🤣Tumefanya utafiti tukagundua maghorofa ya Nairobi hayana plaster na nyumba nyingi zimejengwa kwa mabati
Kama ulienda shule ungeona tofauti.Sasa mbona hata hii uliyopost inayo plasta au wewe hujui plasta maan yake ni nini.? 🤣🤣🤣🤣 au unafosi tufanane.?👇🏾View attachment 3325438
Wewe ndio haya maneno yanakuhusu 🤣🤣🤣Kama ulienda shule ungeona tofauti.
Kwa msisitizo from tanzania
Kweli tungeona utofauti ghorofa Zima halina plaster 🤣🤣🤣🤣Kama ulienda shule ungeona tofauti.
Acha kuangalia movies za kivita 🤣🤣🤣🤣 kenya has no future. Tz’s future is brighter than any country in this region.This the future relationship of Kenya and Tanzania 20 years from now.. ( think TZ as Tijuana, Mexico and SanDiego, California as Kenya )🤪😜
View attachment 3325452
Poorer co
Is Kenya a developed country?Poorer countries (LDC) have low cost of living.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣… not worthy of response…. Go 🇺🇸!Unaangalia sana movies za kivita. 🤣🤣🤣🤣🤣 ikiwa babaako America Hana future, anafinywa na mchina kila leo, wewe kibaraka maskini Ndio utakua na future. ?