Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaogopa kupost the luxury houses ju unajua hutawezana. 😄
Hizo ndio average zenu siwezi fanya ujinga wa cherry picking while in Tanzania is all about bungalows left right and center

Hii ndio state of affairs between your middle to higher income earners and our very ordinary people
20241205_131746.jpg
 
View attachment 3326776
Pole sana, at least Nairobi zoning laws zinafanya kazi. That's why wealthy suburbs hazina maghorofa kwa wingi kama hio Masaki yenu.
 
Wakundustan hamjui tu hela yenu ni takataka, mnajisifia kuwa few zeros on your notes wakati bado value for money ni shitty, angalia wakundustan wenzenu walioona difference baada ya kucross border na kufanya comparison, hii kiuchumi maana yake wanaadmit currency yetu ina purchasing power kubwa kuliko yenu financially View attachment 3326790

Hua munasema GDP ya Kenya ni makaratasi, ila Mkenya akitembelea nchi zote za East Africa anaweza nunua vitu nyingi sana na elfu moja ya Kenya pekee. 🤣🤣 Napenda sana vile hua mnaji contradict.
 
Back
Top Bottom