ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,539
- 164,144
imagine tuko 2025 sasa hvi 😂😂😂
View: https://x.com/nationafrica/status/1920096407656038536?s=46
View: https://x.com/nationafrica/status/1920096407656038536?s=46
SQ hua self contained, Sasa ona vile una expose ushamba wako.Haha ndo maana umeambiwa nyinyi ni washamba huwez jua maana ya emergency na ukiambiwa nje sio kwamba Iko nje ya fence🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo wafanyakazi wanaoishi nje ya main houses usiku inabid waje wawagongee wakitaka kunya🤣🤣🤣🤣
Hayaa ushamba ni wako wewe ambaye umeaminishwa self contained houses haitakiwa kuwa na choo ya pembeni.SQ hua self contained, Sasa ona vile una expose ushamba wako.
Hakuna sehemu kasema jobs ni informal sector acha kupindishaNionyeshe mahali imeandikwa jobs in informal sector zinahesabiwa Kwa unemployment stats?
imagine tuko 2025 sasa hvi 😂😂😂
View: https://x.com/nationafrica/status/1920096407656038536?s=46
Mwenzako juzi kaja hapa anajitapia kuwa kanunua bia kwa supermarket kwa 2800 Tena Serengeti lite akiwa anajiona mjanja , wabongo tukawa tunamcheka tu na ushamba wake maana alikutana na dada wa kichaga akawa anampurusa tu.SQ hua self contained, Sasa ona vile una expose ushamba wako.
GDP kubwa hapo bado anashindwa kulipa mishaharaDah
Wazee wa GDP kubwa😂😂😂
Ghorofa imejengwa miaka 1980 unataka iwe mpya 🤣🤣🤣🤣🤣
Utahangaika sana kutafuta picha za nyumba mbovu bongo za kutaka kufananisha na maslum yenu huwez pata , huko sisi tushapita
Humo wanakaa Wahindi ,wamepanga hawataki kutoka nyumba zifanyiwe renovation.
Hayo maeneo ni reserved na yamejengwa toka miaka 1970 unataka tuyabomoe ili iweje sasa.
Nani amesema mubomoe?Hayo maeneo ni reserved na yamejengwa toka miaka 1970 unataka tuyabomoe ili iweje sasa.
Sisi hatukurupuki kama nyinyi
Eneo la CBD Posta, Upanga mpaka Kariakoo mostly lina nyumba nyingi za zamani.
Nairobians living in the metro area can live without going to CBD ju kila kitu kinapatikana suburbs. From Government services to malls, to banks, to hospitals. Sio lazima mtu aende CBD. Nairobi has different commercial nodes unlike Dar is a slum ambayo ina very few commercial areas kwa suburbs.Eneo la CBD Posta, Upanga mpaka Kariakoo mostly lina nyumba nyingi za zamani.
Sijajua why CBDs.
Ndio maana Kenya kila kitu Nairobi, Nairobi ina few people ila ukifika watu wamejaa kila kona kwasababu huduma zimejaa sehemu moja.
Dar es salaam ina watu milioni 7 but kwakuwa huduma zinapatikana sehemu nyingi, huwezi kukuta JAM.
Na nimewahi kuona wakenya wanashangaa eti mbona Dar hakuna watu.
Sasa mlitaka watu wote watoke sehemu zao waje kujaa CBD posta ili iwe nini??