Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Says a stupid uncircumcised monkey.
IMG_0519.jpeg
 
Mnafunzwa high school wapi, weka past papers hapa tuone.
Bro, hizi arguments ni za upuzi sana naexpect kutoka kwa watu kama chong chung na sama boy, sii wewe. If you want to know which education is better, nenda kwa border communities uone ni nchi gani inapeleka watoto kwa nyingine ili wapate better education. Jiulize kwa nini watanzania wengi matajiri wanaleta watoto Kenya kusoma and not the other way round.
 
You can beat your chest by finding links all day but the truth remains, our education system speaks for itself; BRT, high speed trains, a mega dam, beautiful bridges...
The difference is, we design our projects ourselves, you have foreigners (including Kenyans) designing yours. For example, Talanta Stadium vs Arusha Stadium.
 
A big lie.
Huamini kwasababu umezoea mediocrity huko Kenya. Endeleeni kuwa kwenye denial, sisi tunasonga mbele bila kupiga kelele.
Tanzania only offered casual laborers, mpate akili wapi ya kufanya feasibility study?
BRT ni serikali ya Mkapa ndiyo walifanya upembuzi yakinifu, SGR ni serikali ya Kikwete, Bwawa la Nyerere ni serikali ya Magu walifanya modification ya ile aliyofanya Nyerere '70s. Awamu hii ya Samia juzi wamemaliza upembuzi yakinifu reli ya kusini.

Tanzania inawatu wanavichwa vizuri, tuna matatizo madogo madogo tuu kama ya uchawa ila huwa tuko vizuri kuliko nchi nyingi Afrika.
 
Huamini kwasababu umezoea mediocrity huko Kenya. Endeleeni kuwa kwenye denial, sisi tunasonga mbele bila kupiga kelele.

BRT ni serikali ya Mkapa ndiyo walifanya upembuzi yakinifu, SGR ni serikali ya Kikwete, Bwawa la Nyerere ni serikali ya Magu walifanya modification ya ile aliyofanya Nyerere '70s Awamu hii ya Samia juzi wamemaliza upembuzi yakinifu reli ya kusini.

Tanzania inawatu wanavichwa vizuri, tuna matatizo madogo madogo tuu kama ya uchawa ila kwa tuko vizuri kuliko nchi nyingi Afrika.
Kindly with proof, give us the engineering firms that designed those infrastructure.
 
Huamini kwasababu umezoea mediocrity huko Kenya. Endeleeni kuwa kwenye denial, sisi tunasonga mbele bila kupiga kelele.

BRT ni serikali ya Mkapa ndiyo walifanya upembuzi yakinifu, SGR ni serikali ya Kikwete, Bwawa la Nyerere ni serikali ya Magu walifanya modification ya ile aliyofanya Nyerere '70s Awamu hii ya Samia juzi wamemaliza upembuzi yakinifu reli ya kusini.

Tanzania inawatu wanavichwa vizuri, tuna matatizo madogo madogo tuu kama ya uchawa ila kwa tuko vizuri kuliko nchi nyingi Afrika.
🤣 🤣 🤣 Yet most part of dar is a slum is unplanned hata heri Kinshasha.

Image
 
Bro, hizi arguments ni za upuzi sana naexpect kutoka kwa watu kama chong chung na sama boy, sii wewe. If you want to know which education is better, nenda kwa border communities uone ni nchi gani inapeleka watoto kwa nyingine ili wapate better education. Jiulize kwa nini watanzania wengi matajiri wanaleta watoto Kenya kusoma and not the other way round.
Watoto wa matajiri wenye akili wanasoma sekondari bongo. Wanaokuja kenya wengi ni wale shule za Tz ziliwashinda. Ni university tuu ndo watanzania huenda nje ya Afrika, tena hii ilikuwa zamani kwasababu baadhi ya course UDSM walikuwa hawatoi, mfano computer engineering. Siku hizi, makozi na vyuo vya kumwaga bongo
 
Back
Top Bottom