Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
si ndio maana wale wenye akili wanavuka border na kuja kunywa Tanzania!pesa ya kununua pombe iliokua safi hawana kazi yao kunywa chang'aa iliochanganywa na petroli alaf wakija hapa wanajifanya wazungu weusi πππππ
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1922210204340650412?s=46
Kwa hisani ya exchange rate π€£π€£π€£Economy ambayo imewanyorosha mara mbili Kwa per Capita.
Watauza hadi watu sasa duhwow uza kila kitu πππ
good work ruto
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1922124652366983171?s=46
Hali halisi ni ipo? What is there to gain from lying about the location of state house? Mnapenda ubishi Hadi mnabisha vitu visivyo vya maana.Mbina mnachonga schonga vijistori kukwepa hali halisi.
Nairobi metro is bigger than Dar metro.Thisππππ
View: https://youtu.be/9v-mVLgxf5w?si=rcFvMqxZjTcnO1U9
Halafu acheni kukariri, Nairobi.
Kimji ni kidogo na kina watu wachache lakini mmebanana sehemu moja kama LOCUSTS.
Kwani Kenya hakuna cities tofauti.
Kilimani sahii inafananishwa na hizi uswazi. π€£π€£π€£π€£Kilimani is not downtown bongolala. Don't use terminologies that you don't know their meanings
You think your glorified fishing village is any better?View attachment 3332481View attachment 3332482View attachment 3332483View attachment 3332484
Enyewe ng'ombe ni ng'ombe tu.π€£π€£Kilimani vs Milimani.
Just 15 min drive
Same areas with different names
They are running a budget on deficit, exports have stagnated for over a decade now, loan burden has quadrupled, imports are constantly on the rise, the government fiscal space is extremely limited, production has fallen but the Ksh has made major gains against global majors. Kundustan economics π€£π€£π€£Huyo ni CBK governor ama hapana? How did that currency stabilize? Mli-export nn meaningful?
π€£π€£π€£ ngoja tumuite huyu nairobae aje atueleze.
Altenative ya IMFππThey are running a budget on deficit, exports have stagnated for over a decade now, loan burden has quadrupled, imports are constantly on the rise, the government fiscal space is extremely limited, production has fallen but the Ksh has made major gains against global majors. Kundustan economics π€£π€£π€£
NrState House ipo between Mamlaka, Milimani (Sio Kilimani), Kileleshwa na Chiromo. Usiongee vitu usivyojua.
Kumbe uongo huko kwao ni suala la kitaifa.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSeXbGL8/
Viongozi wetu wangekuwa na mawazo kama haya ππΎππΎ tungekuwa mbalii sanaa badala ya kuenda china kukopa hela au kutafuta investors
This is your CBD, but that doesn't concern you does it? You'd rather focus on a lane in Kilimani that's probably already fixed.Vipi jitu pumbavu .? NairobiWalker ulituambia kilimani is better than anywhere in Posta π€£π€£π€£ππΎ kilimani sindio hii ππΎhii inakaa ilala tu manzeeView attachment 3332602View attachment 3332603View attachment 3332604
Nionyeshe hiyo Sega Slum kwa google mapsNear Sego slum pia