IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,740
- 10,266
You should have dedicatedly for him this song.Enyewe ng'ombe ni ng'ombe tu.🤣🤣
sasa unakataa state house Ukunduni inapakana na slum?Nr
Next to Sego slum pia
We told them that Lamu Port will be a transhipment Port wakapinga. Here it’s doing transhipment to Dar is slum.
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1920765317732585608
Ethiopia ina umasikini uliokithiri kwa raia wake kuliko hata Burundi kaka.Kwanza Ethiopia ina watu zaidi milioni 150.
Ethiopia alikopa sana kibishi, akajenga Bwawa kubwa sana la umeme (GERD).
Akajenga reli SGR (light rail) ndani ya Addis Ababa, akaipeleka mpaka Djibouti, kwenye bandari, maana Ethiopia hawana bandari.
Akawa anapika sana Data, na yeye ana thamani ya sarafu yake (Birr) akaiweka juu.
Alikuwa na GDP kubwa kuliko Kenya.
Juzi hapa IMF wamewaambia washushe thamani ya sarafu. Walileta ubishi ila wameshusha.
Wameipamba sana Addis Ababa.Ethiopia Ina umasikini uliokithiri kwa raia wake kuliko hata Burundi kaka.
Yani usidanganyike na vile vigorofa vya Addis Ababa .
Raia wao daily wanakimbia nchi aisee.
Wana mass unemployment ya kutisha.
Hawana mji nzuri zaidi ya Addis tu.Wameipamba sana Addis Ababa.
Naona wanafanana na Kenya, kila kitu Nairobi.
Kibera actually has 10 million people.But those homes you see each of them is well connected to a flowing water tapes, (each home has an indoor water system ), connected with electricity and sewage system. They are actual homes with well built block walls, proper roofs and decent finishing.
Kibera is a home to 2.5m being the largest slum in the universe, Kenyans all living in a full mabati tents/matope homes without toilets neither water, no power supply. There is at least a dozen more slums in Nairobi apart from Kibera.
Yes,Hawana mji nzuri zaidi ya Addis tu.
Na hata ukizungumzia maendeleo ya kijana yamekua concentrated Addis.
Sio kama Tanzania maendeleo ya kijana yamesambazwa kote kwa usawa.
Huku Tanzania kila mwaka si tunawakamata kwa uhamiaji haramu!??
Hata Morogoro wapo wa kushanta.
Yes,
Huwa wanajazana kwenye maroli wanakimbilia South Africa.
Kuna wengine huwa wanavuka border wanaenda kutafuta vibarua Kenya
View: https://youtu.be/-AkmiMXSV0A?si=H9ie73kHv1znPjlP
Wanapiga issue gani?Robo yao wanajigeuza wasomali wanakaa hapa hapa bongo.
Tofauti tofauti yani wanaishi kama wasomali.Wanapiga issue gani?
Nimeishi kwa Aziz Ally, nilikuwa nona sana Wasomali kwenye magereji.Tofauti tofauti yani wanaishi kama wasomali.
Japo wapo wengine wanaingia hadi kwenye biashara haramu Temeke kuna mwaka walifumwa wakakimbia.