Sasa pale jeshi la twalipo nyuma ya jeshi la twalipo ile mitaa hadi kufika kwa Azizi Ally sheli kuna waethiopia ambao wameshajigeuza wasomali.Nimeishi kwa Aziz Ally, nilikuwa nona sana Wasomali kwenye magereji.
Ukienda kwenye magodowns ya Wahindi, Kigamboni, Kwa Aziz Ally, Vingunguti kumejaa sana Wahindi, Wapakstani, Wachina, Wasomali hawana hata vibali.
Wanakaa kihuni tu.
Lugha zi zinarandana wale?