Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni Mwananchi, kuwa na hofu kuna shida??

TZ tunataka investors, siku zote.

Hofu ya watu ni aina ya contracts zinazokuwepo.

Na kuwa na hofu wala siyo dhambi.

Itabidi wewe Jaluo uanze kunilipa kwa kukutoa Tongo tongo, maana ni jingaa kabisa
Hapo alipo hajui hata bandari ya Dar ina gati ngapi na gati zipi zinaendeshwa na TPA, DP na Adani kazi ni kuokota post ambazo hawezi kuzitetea. 😂😂😂
 
Tunakuja kwa speed kubwa. Majirani wanatetemeka

1747299800511.png
 
 
Bandari yenu yote hapo Dar si inaendeshwa na foreigners.
Investors na PPP siyo tatizo as long as utajali contractor yenye maslahi kwa umma na utaweka mipaka.

Hata large scale Miners TZ ,ni Foreigners na tuna 15% ya shares with a room to increase tukitaka.
Ngorongoro si iliuziwa foreigners,
Unauzaje Ngorongoro??
Tazara si imepewa foreigners.
TAZARA sisi tunawasaidia Zambia tu, maana ndio wanufaika wakubwa kutoa mizigo yao Copperbelt kuja Dar Port.

Sisi hatuna hasara hapo.

Faida yetu ni mizigo ya Zambia ma DRC hasa minerals kupita Dar Port.


Bado unapinga nini. BRT pia wanakujia. 🤣🤣
BRT inaingia kwenye PPP, wala siyo shida.
 
Back
Top Bottom