concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Labda tusaidie kumzuia mtu kuhudhuria kesi Kuna uanaharakati gani?Lazima ujue kuna tofauti kati ya upinzani na uanaharakati. Ninanachokataa ni uanaharakati.š
Hivi unajua kwenye hizi fani Kuna bodi na vyama , kwa mfano
Kwa wahasibu kukiwa na kikao cha nbaaa tukaalika au kukawa na washirika kutoka Kenya ni uanaharakati ? Kama haipo mawakili pia KAZI zao ni mahakamani wanaruhusiwa kuingia na kusikiliza ili wajifunze