President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mzee hatujengi viwanja kwaajili ya leo au Kesho. Uwanja wa ndege unakaa zaidi ya miaka 30.Ingekuwa mawazo yangu.
Futa project ya kujenga uwanja wa kimataifa Kagera, maana hata uwanja wa kimataifa Chato ni tembo.mweupe.
Boresha uwanja mpya wa Mwanza uwe wa kimataifa.
Jenga njia 4, barabara za Mwanza Mjini to Gate la Serengeti.
Watalii wanaoshukia Mwanza wanaingia serengeti.
Na watakaoingia kupitia KIA wanaingia Serengeti.
Watalii wavivu, tayari tuna Seronera Airstrip ambayo inapokea ndege ndogo.
Kujemga Uwanja mkunwa mbigani, hata kama wanasema sijui ni Green. .wisbo wa siku Ndege zina kelele sana.
Wanyama watahama watakuwa wanahama kila siku.
Kama tunasema Masai wanavuruga ecosytem ya Ngorongoro, vipi kuhusu Ndege kubwa.
UTU ni nini?Mimi siyo mfuasi wa Mwanasiasa.
Mimi ni mfuasi wa UTU.
Ndio maana nawateyea hata Wapalestina, hata kama sina ndugu Middle East.
Hata CCM ya Nyerere siyo hii.
Kuna genge tu, limeteka Dola, na wala siyo kila mwenye akili timamu anafurahia.
Kufa hata wewe UTAKUFA na UTASAHAURIKA.
ππΎππΎ Shabibi mtu mbaya kabisa.
Gautrain sio light train!Its a SAFARI. Not a business trip.
Kujenga lami wameshindwa, hizo ndege kubwa mbugani ndio kabisa zinaenda kukimbiza wanyama.
Wanyama watahamia Kenya.
SGR kutoka Tanga Port kwenda Isaka ni good idea.
Ila SGR kwenda Arusha tena kwa mfumo wa PPP ni utapeli wa kihuni tu.
Kwanza mikoa hiyo haihitaji SGR (Mostly for Cargo rail tracks)
Huko inatakiwa Light trains tu, kama za Nigeria, Ethiopia, South Africa Gautrain
Next time akirudi,anapigishwa blow jobππKijamaa wamwkichakaza hadi kinatumia wheelchair. π€£π€£π€£ ππΎ Achana kabisa na polisi wa kibongo.
View: https://youtu.be/nw_NDTU1az4?si=NzhjS0eeo7bTjgOB.
Apige mara ngapi!Next time akirudi,anapigishwa blow jobππ
Kwa hizi takwimu, Air Tanzania is supposed to have direct flights to all top four countries. They can have two to three flights per week with good load factor!! Sijui kwa nini hawachangamkii hii fursa.
Hatonyongwa, wanamtuliza ili uchaguzi upite alafu watamwachia.Sisi watanzania wa kweli tumekubaliana TL kunyongwa na tunafurahia hilo
RubbishAshukuru wazee wamempa free road trip na home tourism huko ukundu πππ ila kwanini ukundu na hawezi kutembea π
Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba watanzania tunaweza kumfanya chochote raia wa Kenya na serikali yake ikatuunga mkono, umaskini mbaya sana aisee, yote hii ni kutokana na njaa, serikali inaona ikitunishiana misuli na Tz itashindwa kivyote, kijeshi itapigwa na chakula itakosa, so imeamua kuunga mkono kinachofanywa na Tz. Alafu mbaya zaidi watanzania wamevuka border, wameingia Kenya huku askari wao wanaangalia, wamemuacha huyo akiwa hana marinda zen wakaamsha pasipo kubughudhiwa na yeyote yani ni kama wameingia chooni tu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dahππππππππ kuna jambo wamemfanyia huyu jamaaπππππ.
Dah mwanangu unakuwa deported kwa gari then unatelekezwa kama mtu aliyetekwa!?
πππ
Hawezi kusema, ila ni fundisho kwa wakenya kwamba Tz ndiyo baba wa EA, ukileta fyoko fyoko tunakufokoa, na tunapoelekea tutakuwa tunawachukuwa huko huko kwao, tunawaleta huku wanakula kitombo zen tunawa deport kwa road, hakuna kupanda ndege cz hawana hiyo hadhi.Apone aje atuambie walimfanya nini. πππ
NTV walishaambiwa wafute hii. ππππ€£π€£π€£
View attachment 3342480
Kuna tofauti ya kusikiliza viongozi na kuwa brainwashed. Hapo kwa wapo controlled you are correct, Kenya vijana wana fikra zao binafsiβ¦tulikuwa huko back in the 90βs wakati wa Moi. No questioning leadership despite the ills they committed.Watanzania tumeamua kuwaacha tu wafanye ujinga wao. But Tanzania tukiamua kuanzisha online battle na hawa wakenya, haki ya Mungu wataina Kenya takataka.
Kuna vichaa wa UVCCM wametapakaa kila kona ya Tanzania. Walitulizwa na kuambiwa waacheni.
Uzuri wa Tanzania vijana wapo Controlled na wanasikiliza viongozi wao.