Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
🤣🤣🤣 kwanini Unafanya guess work everyday.? Wewe mbona ni mpumbavu sana.?Nina uhakika hujafika ground uone vile hizo stadium zinakaa
Mara unawaambia watu mimi ni mfupi na haujawahi kuniona. 🤣🤣🤣 mara sijafika kwa viwanja za mpira.
Utaacha lini ku force mambo na kuongea uongo.?