Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
Hapana, ni leo zero.Hii Nakuru ndio jiji la 3 Kenya??
Hapana, ni leo zero.Hii Nakuru ndio jiji la 3 Kenya??
Kuna siku iliwekwa picha yake humu anamuuguza babaake aisee nilishangaa sn, kalivyo kama wale wanariadha wao au kama wale wakenya wanaoishi kule kaskazini, anaonekana ni mtu wa kutoka familia ya chini sn.Kama unalazimisha kueleza vitu ambavyo havipo Sawa, hiyo ni kawaida yako kulazimisha vitu.. 🤣🤣🤣
Nimeshakwambiaga ground haibadilishwi kwa uongo, my fool brother.
Nakuru ni mbeya iliyopangwa. 🤣🤣🤣 ni village center but Bros are telling us it’s a city.Hii Nakuru ndio jiji la 3 Kenya??
Mbeya ndio gari ya kuenda wapi?Nakuru ni mbeya iliyopangwa. 🤣🤣🤣 ni village center but Bros are telling us it’s a city.
Kwa hali hii, mbona hata Morogoro na Iringa tungeziita majiji😅😅Nakuru ni mbeya iliyopangwa. 🤣🤣🤣 ni village center but Bros are telling us it’s a city.
Ni gari ya kubeba watu ambao hawajatahiriwa kuwapeleka jando na unyago… 🤣🤣🤣Mbeya ndio gari ya kuenda wapi?
I’m telling you bro. 🤣🤣🤣. Lakini wenyewe wanasema miji zao ni bora kuliko miji yetu. 🤣🤣🤣Kwa hali hii, mbona hata Morogoro na Iringa tungeziita majiji😅😅
Na gani inabebe tumbili na nyani?Ni gari ya kubeba watu ambao hawajatahiriwa kuwapeleka jando na unyago… 🤣🤣🤣
Unajizungumzia tumbili mwenye govi.? 🤣🤣Na gani inabebe tumbili na nyani?
So in short Mbeya ni village center.🤣Nakuru ni mbeya iliyopangwa. 🤣🤣🤣 ni village center but Bros are telling us it’s a city.
Sawa mbilikimo.😄Ume download acha uongo. 🤣🤣🤣
Kijimaa kiongo hiki. 🤣🤣🤣 kakosa kwa kunikamatia ananisingizia ufupi 🤣🤣🤣. Haya pole.Sawa mbilikimo.😄
mwanaume anavaa body tight?
Hebu weka ile picha amevaa mitumba yake full black na buti la jeje ili tujue nani nyani kati yako na yeye.Unajizungumzia tumbili mwenye govi.? 🤣🤣
Ushoga.🤣🤣mwanaume anavaa body tight?
Wa nne baada ya Nairobi, mombasa na kisumu. Ukipeleka nakuru Tanzania unakua mji wa 2 kwa ukubwaHii Nakuru ndio jiji la 3 Kenya??
Dodoma alone is the best and most modern city in East and Central Africa.Wa nne baada ya Nairobi, mombasa na kisumu. Ukipeleka nakuru Tanzania unakua mji wa 2 kwa ukubwa