NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
If we were a shithole, you wouldn't be worried about Tanzania becoming like us.Who wants to be SHITHOLE, BUTTHOLE and HELL-LIVING?
If we were a shithole, you wouldn't be worried about Tanzania becoming like us.Who wants to be SHITHOLE, BUTTHOLE and HELL-LIVING?
Kenya kushindwa kuunganisha hiyo reli mpaka malaba on time, will be a big stab right at the heart for Uganda!!Rw wamejengewa dry port kubwa sana na DP world. Hiyo dry port wamefanya lobbying ili iwe hub to Burundi and Congo also some parts of UG... Sasa watu wakaona Bora wamfate Burundi na Congo direct.... Ni chenga ya mwili tu mtu alipigwa...amesusa kipande chake hapo isaka via keza..
Same to Uganda and kunyans.... Mr loot all alienda Hadi China na kusema kipande Cha malaba tayari.... M7 nae kichwa kichwa akaingia mkenge na kuanza ujenzi na Yapi from Kampala to Tororo near malaba...baada ya ku sign deal mkunya kachomoa hana hela ya kujazia ujenzi...hivyo kipande Cha UG pia kitakuwa white elephant...
Hapa E.A tunaishi kwa kuviziana sanaa.... Usipochanga karata vizuri wanakulambisha garasha halafu wanaenda kuchekea pembenii
Tell TZ politicians to trend carefully before Bongo becomes the 48th county of Kenya. Ati wataleta Jeshi ?.. make our day !… 🤣🤣Yani Mkenya mmoja which is Bonface Mwangi ameleta baridi Tanzania nzima?😂😂🤣😂.
Kwa uelekeo ilivyo sidhan kama watafanikiwa kufikisha hiyo reli malabaKenya kushindwa kuunganisha hiyo reli mpaka malaba on time, will be a big stab right at the heart for Uganda!!
Na hawatokuja kusahau hii mile, mnamuingiza muhenge mwenzenu!! Hilo deni atalipaje wakati reli haifanyi kazi!? Yani mzigo utoke Mombasa kwa reli, halafu ushuke upande gari kutoka Nairobi mpaka malaba, then upande tena reli mpaka Kampala. Hiyo akili matope!!!!
Kwani mna polisi wangapi? Wale wa kudukuliwa mitandaoni sio polisi?Mnawatawala hawa hawa polisi waliompa kifiro mwanaharakati wenu au kuna polisi wengine?
Kwamba huna habari X account ya Police force yenu ilikuwa hacked ama ndio kujitoa ufahamu?Kumbe mifumo ya polisi ipo X na hausemi.? 🤣🤣🤣 kuna mpumbavu mwenzaki ka like eti, halafu anaishi US. 🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mtandao si alidukua mwanaharakati aliyepewa kifiro,alijua polisi zile clip walimrecord wakimtembezea kifiro atazikuta mle ili azifute kuondoa ushahidi,unadhani hatujui nani mdukuajiKwani mna polisi wangapi? Wale wa kudukuliwa mitandaoni sio polisi?
Ni mkenya ama ni mtanzania? 😂😂Mtandao si alidukua mwanaharakati aliyepewa kifiro,alijua polisi zile clip walimrecord wakimtembezea kifiro atazikuta mle ili azifute kuondoa ushahidi,unadhani hatujui nani mdukuaji
Nani Analia? Tunawaona wajinga mnasema twalia? Ebu soma comments za Wakenya hapo.😂☕
View: https://www.tiktok.com/@truthmedia1/video/7508795764164824325?_r=1&u_code=ec1b9gffmgg99d&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=ede18im8dc79ka&share_item_id=7508795764164824325&source=h5_m×tamp=1748286303&user_id=7320910578464965638&sec_user_id=MS4wLjABAAAArDRr0yK6kVlCsa-WodNmt1G3lGAicPoBXgUn4AKYlyQOglED4HyUMJQXoTFxP_Kd&social_share_type=0&utm_source=copy&utm_campaign=client_share&utm_medium=android&share_iid=7507136048708503352&share_link_id=e15eee91-f309-4c06-a4e1-2d8d02fb99cb&share_app_id=1233&ugbiz_name=MAIN&ug_btm=b2001&link_reflow_popup_iteration_sharer=%7B%22click_empty_to_play%22%3A1%2C%22dynamic_cover%22%3A1%2C%22follow_to_play_duration%22%3A-1.0%2C%22profile_clickable%22%3A1%7D&enable_checksum=1
Not 200 slums tena? Bongolala, I told you to at least be consistent with your lies/propaganda100 slums ndani ya slums Ina maana almost 3/4 of Nairobi ni slums
1960Ya mwaka gani hii?
Mimi nakupa actual link ya vile mambo iko wewe unanipigia story? Si upost hizo vilio hapa tuone? 🤣Nenda X kaone namna mnavyolia.
Mmebaki kubweka bweka kwenye mitandao ya kijamii.
Yaani mnaita hadi media kujadili Tanzania.
![]()
6K reactions · 409 shares | AaHatuwezi kubali ukabila ulioko Kenya kupelekwa tanzania# facebookreel | Liontv Kenya
AaHatuwezi kubali ukabila ulioko Kenya kupelekwa tanzania# facebookreelwww.facebook.com
Kwanini mnaiogopa Tanzania?Mimi nakupa actual link ya vile mambo iko wewe unanipigia story? Si upost hizo vilio hapa tuone? 🤣
Unadhani ukiweka chuki kama hivi ndiyo tutawachukia wa SA? Hao wanatuheshimu na ni lazima watuheshimu mana sisi ndiyo tumewapa Uhuru, alafu kwa taarifa yako tu sisi watanzania ni wa Southern of Africa na sio East Africa, mnatulazimisha kuwa EA wkt cc ni wa south.As of now, we are talking about how South Africans view Tanzanians. Hizo zingine pelekea nyanyako.
If it was streaming application then what was your useless police investigating after the event?1. Mnanuka ndio maana tunajaribu kuwafufua.
2. Hamna uwezo wa ku hack mtandao wa X. Hiyo ni streaming Aplication kwa kutumia Stream Key kutoka kwa msimamizi wa mitandao mzembe.
Huwa wanalazimisha sana Tanzania ichukiwe na SA.Unadhani ukiweka chuki kama hivi ndiyo tutawachukia wa SA? Hao wanatuheshimu na ni lazima watuheshimu mana sisi ndiyo tumewapa Uhuru, alafu kwa taarifa yako tu sisi watanzania ni wa Southern of Africa na sio East Africa, mnatulazimisha kuwa EA wkt cc ni wa south.
Mbona wakanwachilia mpakani? Waliogopa kukanyaga ndani ya mipaka ya Kenya kwa nini wale kenge wanajiita polisi?🤣Na tukambaka activist wenu na hakuna cha kutufanya.
Tunajenga viwanja vikubwa Dom na Arusha, nyinyi viwanja vyenu jua kali vyote vipo naislum.Wacha kuderail mjadala. Let me make it simpler for you. Nionyeshe uwanja wenye viti mainland Tanzania outside Dar.
Ilishakufa wakati hadi wabunge wenu hovyo wanatenga hadi muda wa kujadili Kenya bungeni!!!Kijana. Kenya ilishakufa. Tangu thread hii ianze tumeona uchafu wa kenya.