Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
20k seater stadiums siku hizi ni stadiums kubwa?Tunajenga viwanja vikubwa Dom na Arusha, nyinyi viwanja vyenu jua kali vyote vipo naislum.
20k seater stadiums siku hizi ni stadiums kubwa?Tunajenga viwanja vikubwa Dom na Arusha, nyinyi viwanja vyenu jua kali vyote vipo naislum.
Imagine, watu wanalipwa allowance kuenda bungeni kudiscuss watoto wadogo wa genz siku nzima. Alafu eti hao ndo wana akili kutulikoIlishakufa wakati hadi wabunge wenu hovyo wanatenga hadi muda wa kujadili Kenya bungeni!!!
Kata govi ewe kiumbeIf it was streaming application then what was your useless police investigating after the event?
Huo ndio wajibu wa wabunge wetu ili msituletee uozo wenu.Ilishakufa wakati hadi wabunge wenu hovyo wanatenga hadi muda wa kujadili Kenya bungeni!!!
I was wrong, not a whole President.. the whole country has gone to panic mode.. they’re having a crisis status because of Boniface Mwangi 😅😅so a whole president is afraid of an independent activist like Bonny Mwangi? mpaka mnajibandika a leader in the region because of detaining one guy😅😅
Sasa hizo namba zote zipo kwenye website ya bunge. Hizo ni bangi. Waambie sasa wapige simu. Watu wenyewe choka mbaya.😅 wakenya
View attachment 3346761
The whole world knows Kenyans are the kings and queens of trolling. This new battle will not end well for the neighbors ..🤣🤣😅 wakenya
View attachment 3346761
So wanauza mali ya nani? Are you okay?😂situliwaambia safaricom sio mali yao😂😂
Mmejaa kwenye mfumo mumebaki kulia lia mitandaoni.Mtu anapiga kelele kwa hasira anapumua Hadi kwa k**a wakati Wakenya tunacheka tu alafu bado babayao255 anakwambia sisi ndio tunalia eti tunaogopa.😂