babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Yah mifumo iko mingi sana.Halafu wakiwa wanaanzisha hii mifumo Huwa ni lazima ni kama walipokuwa wanaintroduce mfumo wa manunuzi ilikuwa ni balaa
Kwa ground ni Watanzania wengi hawana muda wala kujua kinachoendelea kunyaland.Kwanza watanzania wengi hata hawajisumbui, tuko busy tunavuna zetu ufuta na choroko
Yah mifumo iko mingi sana.
Kuna huu mwingine wa kutumia pongezi na malalamiko.
Huu mfumo tayari umeshinda tuzo Africa.Plan ni kuwa mpaka 2030 tuondokane na paper work
Kenya ina accounts za umma kama 200GEPG itabaki kuwa mfumo bora Africa.
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1927953048359329831?s=46
Ona hii kijana ya balehe.So leo because Dar haiko then all over sudden ni mada za Ki Toto? Lakini when watanzania the likes of ichoboy01, Sama boy 255 and babayao255 share the same then sio utoto?
Hypocrisy itakumaliza wewe quack.
Hakuna jinsi Kenya is a consumption economy it makes more sense for the Government to implement WB suggestion. This approach will generate more funds for other economic sectors.
kile kigovi kitakuwa kimebaki central 😁Wengine wamekulwa na hawasemi 😂
Sawa Quack.Ona hii kijana ya balehe.
Mada ya kitoto hiyo utake usitake.
Utofauti unaonekana hata kwenye mapato yanayotokana na counties ( osr)Kwa ground ni Watanzania wengi hawana muda wala kujua kinachoendelea kunyalan
| County | Revenue Target | Actual Revenue | Percentage (%) |
|---|---|---|---|
| Baringo | 450,097,396 | 378,201,635 | 84 |
| Bomet | 332,041,830 | 238,930,420 | 72 |
| Bungoma | 2,010,419,736 | 1,120,909,349 | 55.8 |
| Busia | 649,015,633 | 369,203,975 | 56.9 |
| Elgeyo Marakwet | 271,306,633 | 258,505,138 | 95.3 |
| Embu | 750,000,000 | 746,494,074 | 99.5 |
| Garissa | 230,000,000 | 248,969,049 | 108.2 |
| Homa Bay | 1,392,206,352 | 1,200,495,831 | 86.2 |
| Isiolo | 356,208,180 | 285,197,344 | 80.1 |
| Kajiado | 1,868,466,985 | 1,048,356,435 | 56.1 |
| Kakamega | 2,200,000,000 | 1,347,833,279 | 61.3 |
| Kericho | 1,066,426,600 | 841,927,978 | 78.9 |
| Kiambu | 6,995,366,235 | 4,575,831,607 | 65.4 |
| Kilifi | 1,788,634,222 | 1,208,619,997 | 67.6 |
| Kirinyaga | 550,000,000 | 651,105,565 | 118.4 |
| Kisii | 1,843,892,198 | 1,180,162,037 | 64 |
| Kisumu | 2,282,844,694 | 1,443,607,988 | 63.2 |
| Kitui | 585,000,000 | 517,049,816 | 88.4 |
| Kwale | 600,000,000 | 427,377,928 | 71.2 |
| Laikipia | 1,445,000,000 | 1,061,020,098 | 73.4 |
| Lamu | 180,000,000 | 209,102,758 | 116.2 |
| Machakos | 3,332,286,060 | 1,549,348,477 | 46.5 |
| Makueni | 1,240,000,000 | 1,044,674,948 | 84.2 |
| Mandera | 330,533,846 | 168,047,287 | 50.8 |
| Marsabit | 190,000,000 | 145,092,550 | 76.4 |
| Meru | 1,050,000,000 | 961,934,279 | 91.6 |
| Migori | 625,474,299 | 512,566,310 | 81.9 |
| Mombasa | 7,377,933,227 | 5,585,024,010 | 75.7 |
| Murang'a | 1,115,000,000 | 1,116,795,730 | 100.2 |
| Nairobi City | 19,689,630,278 | 12,542,094,418 | 63.7 |
| Nakuru | 4,100,000,000 | 3,321,300,479 | 81 |
| Nandi | 558,329,869 | 630,727,156 | 113 |
| Narok | 4,979,073,664 | 4,753,670,486 | 95.5 |
| Nyamira | 687,000,000 | 369,796,343 | 53.8 |
| Nyandarua | 1,225,000,000 | 515,740,772 | 42.1 |
| Nyeri | 1,326,000,000 | 1,407,546,107 | 106.1 |
| Samburu | 256,027,400 | 266,583,924 | 104.1 |
| Siaya | 760,000,000 | 610,737,745 | 80.4 |
| Taita Taveta | 628,667,445 | 461,186,652 | 73.4 |
| Tana River | 96,630,600 | 92,568,520 | 95.8 |
| Tharaka Nithi | 450,670,000 | 417,346,035 | 92.6 |
| Trans Nzoia | 643,700,000 | 476,638,172 | 74 |
| Turkana | 220,000,000 | 530,645,056 | 241.2 |
| Uasin Gishu | 1,578,147,614 | 1,421,327,951 | 90.1 |
| Vihiga | 248,083,481 | 338,057,178 | 136.3 |
| Wajir | 150,000,000 | 164,953,671 | 110 |
| West Pokot | 230,000,000 | 185,294,701 | 80.6 |
| Total | 80,935,114,477 | 58,948,601,257 | 72.8 |
Halafu wakiwa wanaanzisha hii mifumo Huwa ni lazima ni kama walipokuwa wanaintroduce mfumo wa manunuzi ilikuwa ni balaa
Ndio maana huwa nashangaa Wakenya wanaposema wako juu kiteknolojia.GEPG itabaki kuwa mfumo bora Africa.
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1927953048359329831?s=46
Pale wawekewe target tu.hii ya sasa hivi forgery nyingi sana , mtu anajaza tu ajuavyo.Naona watilie mkazo zaidi kwenye ule sijui PEPMS... Na hatua zichukuliwe. Waziri anasema watumishi wana under perform wakati mfumo wa kuwafatilia upo.
Wewe jibwa nani kakuambia BuruBuru Kuna apartments? Nenda kaumie hukooo TandaleTz apartments zimeanza kujengwa leo we matrako.? Tulioita mabweni ni yale majumba Yenu cheap especially zile mijumba za buruburu, zile ni mabweni Ndio.
Waziri hasemi kweli.Naona watilie mkazo zaidi kwenye ule sijui PEPMS... Na hatua zichukuliwe. Waziri anasema watumishi wana under perform wakati mfumo wa kuwafatilia upo.
Huo ndo ukweli ukiingia kwenye taasisi zote za serikali Kuna uhaba mkubwa sana wa watumishiWaziri hasemi kweli.
Serikali ina staff haitoshi.
Waliopo wanatakiwa kufanya kazi zote, huwesi kusema wana-underperform.
Kazi za serikali huko chini lina kujitolea sana