Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kariakoo has more construction than the whole of Nairobi. Ukibisha you are narsissitic (yaani narcissistic). 🤣 🤣 🤣
Utapata hiyo word anamispell ameskia kwa mara ya kwanza leo asubuhi😂😂😂.

Alafu hakuna any meaningful construction going on in Tanzania, Westlands alone boast of more construction activitues than entire Tanzania.
 
Quack what don’t you understand by Official Store? Kiti wanajaribu kukuambia ni kwamba there is no store owned by Xiomi in Tanzania. Zenye mko nazo ni za brokers tu.
Ona huyu fala!
Maduka ya Oppo na Xiaomi yanamilikiwa na hizo kampuni tajwa hapo juu humu Tanzania.
Na hata ukienda kuyatembelea utawakuta watendaji wakuu ni wachina ila sipo hapa kubishana.
 
Wale wale.
Kitu Cha umuhimu simu za Xiaomi zinapatikana kwa ubora ule ule na tena kwa TANZANIA bei nafuu kuliko Kenya.
Hii ndio unaita official store ya Xiaomi in Kariakoo. 🤣 🤣 🤣 Watu wa informal economy mutatuonyesha mambo.


View: https://www.instagram.com/p/DDrtv9_sk1S/?utm_source=ig_web_copy_link

Xiaomi Store in Nairobi

Xiaomi's Mi Home store opens its doors in Kenya on July 14th
 
You got nothing to show, kidogo mtatuambia hampendi kunuanua vitu original, ju sio culture yenu. 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣 wewe bhana chill hio sio duka ya Shaomi Tz. Naeza kukuonyesha inafananaje even now if you want. Namjua mmiliki personally.
 
Back
Top Bottom