Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Ndio ni wapumbavu kuzuia flights kutua Mombasa! Mombasa is made to suffer for no reason by forcing tourists to land in Nairobi n lodge in those empty hotels!
The good thing Zanzibar is the main beneficiary of all that happening to Mombasa n the whole coastal tourism in Kenya!
Zanzibar is already having more 5 n 4 star facilities than any destination in east and central Africa!
nafikiri unapaniki bure tu, labda hawataki tui wale keki yao, kuna direct flight kati ya amsterdam-nairobi ya kenya airways/klm/airfrance na kenya airways inaoperate pia mombasa-nairobi kwa nini waruhusu mwingine achukue hiyo ruti? nafikiri siyo wajinga kama unavyofikira, fikiria tanzagiza ruti ambazo klm, katar, emirate inapiga ktk dar- europe/north amerika walipaswa wagawane angalau na air tanzagiza lkn kama kawaida tanzagiza hamjui how a capitalistic economy functions.
unajua wangapi wanakula keki yetu? wageni wanaokuja tanzagiza kutokea ulaya au north amerika ilipaswa air tanzagiza inufaike angalau hata kidogo tu hata thru joint venture labda katar iwalete mpaka doha halafu air tanzagiza iwafikishe dar huo mfano tu …