Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha maneno mengi wewe!!!?
anataka kuonyesha kwamba yeye anaweza kuandika maneno mengi yenye statistics.

anasahau kwamba hapa statistics hazina nafasi.ni mwendo wa picha post kwa post.
 
International Medical and Technological University(IMTU)
 
Ocean Road Cancer Institute
 
Hapa nimeficha silaha zangu nawasubiri waibuke.
 
Wewe haujaeleza 5, 4, 3 stars hoteli ngapi zipo Dar!
 
How many hotels are in Dar?
More than 600. Lakini hiyo issue tumeshamaliza tupo kwenye Health Center nimeweka vituo vidogo vidogo nawasubiri mkija naleta vya maangamizi.
 
How many hotels are in Dar?
bro unataka kuturudisha tulikopita.the question of who has better hotels than the other or how many hotels are in dar was well answered....of course, we won.
revisit the thread from the first page.
 
Nafanya kazi na demu mmoja wa kenya. ..mazee labda kapendelewa ana msabwanda wa kufa mtu anasumbua wajinga wajinga sana apa kwa ofisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…