Namala Namala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 227
- 127
kwa uzuri wa madem dar ni namba 1 aseena mademu wazuri pia tulinganishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa uzuri wa madem dar ni namba 1 aseena mademu wazuri pia tulinganishe
anataka kuonyesha kwamba yeye anaweza kuandika maneno mengi yenye statistics.Wacha maneno mengi wewe!!!?
Wewe haujaeleza 5, 4, 3 stars hoteli ngapi zipo Dar!Hakuna kitu kama hicho unaruka ruka tu. Twende kwenye hotel mpaka tuone nani mshidi. Maana hapa tutakuwa tunafanya mambo ya ajabu ajabu.
Niambie
1. 5 Stars zipo ngapi
2. 4 Stars zipo ngapi
3. 3 Stars zipo ngapi
Siyo kuruka ruka tu.
Hapa tunataka tumalize ubishi, Mda bado upo usiruke.
Ngapi????Hujajibu swali langu.
5 Starts zipo ngapi?
4 Starts zipo ngapi?
3 Starts zipo ngapi?
Hotels Dar es salaam zipo nyingi sana. Huwezi kushinda kwenye hotel.
How many hotels are in Dar?wewe ndio umefufuka sasa hivi. Mchezo tumeshamaliza tayari. Tumeshawafunga magoli kibao.
Wala sio barabara..tu. ...dar bado haijafikia nrbkwa mujibu wa viwango vyako. Lakini sio uhalisia. Wewe fuatilia thread yote utaona. Usitishwe na barabara
OK. Kulingana na unavyoona wewe. Vipi ungeleta vitu vinavyozidi dar hapa tuvione? Maana unaongea tu bila refferences.Wala sio barabara..tu. ...dar bado haijafikia nrb
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
kwa uzuri wa madem dar ni namba 1 asee
bro unataka kuturudisha tulikopita.the question of who has better hotels than the other or how many hotels are in dar was well answered....of course, we won.How many hotels are in Dar?