Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
Magufuli was treated at Nairobi Hospital, Tundu Lisu was treated at Nairobi Hospital, Rose Muhamdo came for treatment in Kenya, majority of your government officials came to Kenya. Niendelee ama niache?Acha uongo wa ******* wewe.
Hakuna kiongozi wa serikali wa TZ alikuja kutibiwa Kenya.
Magufuli alitibiwa Mzena na akafia Mzena.
East and Central Afrika hakuna hospitali kubwa ya Moyo kama ya JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE MUHIMBILI.
Ndio maana hata raia wenu huvuka boda kuja kutibiwa huku.
Narudia tena,hakuna hospitali kubwa ya moyo Afrika mashariki na kati kama JKCI MUHIMBILI.