Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂 😂 Hii sijui mlicopy wapi, lakini si Kenya.

Nairobi Railway City when fully complete is I think bigger than our current CBD, and you're here comparing with some dingy, backwater bus-sheds with designs straight from the 80s 😂😂
Show me a modern bus shade in Kenya before tukubali kuwa hii ni design ya 80s
 
Ni nini maana ya urge!?
Ameomba ama ametoa ushauri!?
Lete ushahidi hapa wa usemacho.
Usisahau tunapokea raia wenu wengi JKCI kuwatibu moyo.
Rai wengi ndio raia wangapi? 2,300 Tanzanians are coming to Kenya daily to seek for medication. Most of these 2,300 are wealthy Tanzanians who can afford Kenyan medical sector.
 
Kwanini 84% ya wawekezaji ni ya kipindi chote cha uchimbaji?? Huu uwekezaji unaofanywa kwanini usigharamikiwe na kinachozalishwa kwanza halafu baadaye Serikali ipate hata 80% ya faida?? Hapo ndo wajanja wakaja na akili kwamba always wanapata hasara lakini hawaondoki..
Na kama wanapata faida siye ndo wajinga..
Serikali inapata mapato mengi tuu kwemye mining na oil and gas.
16% free carried shares
PAYE
Workers compensation
Skills development levy
CSR
corporate tax
na vitozo vingine vidogovidogo ukija kujumlisha serikali inaondoka na kama 60% ya mapato yote ya mining
 
Bond is not PPP you idiot, they are not going to recoup their money from the stadium but the government will be paying them interest for 15yrs at a rate of 15%, at the end of 15yrs the government will return to them the principle amount they way it was.

Do you even know how bonds work?
Do you hear yourself talking? unafikiri hiyo interest rate kwa 15 years ni kitu kidogo given the nature of over inflated price that you are paying for Talanta. embu piga hesabu vzr uone jinsi mnavoliwa.
 
😂 😂 Hii sijui mlicopy wapi, lakini si Kenya.

Nairobi Railway City when fully complete is I think bigger than our current CBD, and you're here comparing with some dingy, backwater bus-sheds with designs straight from the 80s 😂😂
ujenzi wake uko wap na ulianza lini??😂
 
Exactly. Mimi nawashagaa sana wakenya wanasema ni wasomi wanashindwaje kujua miradi yenye multplier effects?
Mzee hao wnapenda vitu cosmetic sana kuanzia kwenye data zao hadi kwenye maisha yao ya kila siku hao ni bomu lililo jirani yetu siku likilipuka tutapata shida sana huku kwetu tuliona wakati wa uhaba wa USD walikuja hadi huku kutuletea artificial scarcity sasa siku bomu likilipuka itakuwaje.
 
Whatever Tanzania is receiving in 5yrs Kenya does in 1yr. Kwani hata huoni aibu kupost hizi takataka?

1751564716803.jpeg
 
Back
Top Bottom