Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,324
- 18,182
They like living in denialUkiwaambia maskini wao wamejaa huku wanakwambia mtu hawezi toka Vumbistan aje kuombomba Kenya.
They like living in denialUkiwaambia maskini wao wamejaa huku wanakwambia mtu hawezi toka Vumbistan aje kuombomba Kenya.
Naona mmeanza kutoka barabarani(street beggars) na kuenda kwa vituo vya polisi kutafuta usaidizi kwa kulia kama mbuzi. Wakenya sisi ni wakarimu sana!Migori yaweza kuwa sawa, maana kama ametokea Sirari ni rahisi kuingilia hapo.
Kuna kitu hasemi kweli
Tuko vizuri tofauti ya wao na sisi ni moja: sis hatupigi kelele, yaani tuko kimya.Kcmc ndio wamejaa,unajua TZ kwenye takwimu uwa tupo nyuma sana sijui kwanini,wakati wenzetu uwa mpaka wanapika takwimu tu ili kuwapa unafuu flan kwenye mikopo huko in contrary takwimu zao kupika na wako na msoto wa ajabu
Yeah nafahamu ila they are not doing enough,kupanda miti haitoshii tuu,miti inaitaji uangalizi wa karibu baada ya kupandwa ambapo icho kitu huku hamnaDodoma kuna program.ya kupanda miti kwa kushirikiana na JKT, TFS
What is he doing!Huyo ni prison officer
It is high time mgodi wowote au madini yoyote yanayochimbwa yamilikiwe na watanzania au 50% sio chini ya hapo iwapo kweli tunataka maendeleo ya kweli tunazalisha wasomi wanaishia kuwa machawa badala ya kuhodhi izi nafasi japo sheria zimebadilka but it is not enoughBado wanaingia ile mikataba ya kijinga kijinga kama ya buzwagi
Whatever lakini serikali ina hisa 16% na wachimbaji wanalipa kodi na mirabaha.
Lakini pia serikali imeanza kuwanunulia vifaa wachimbaji wadogo.
Hakuna nchi yenye mipango yenye afadhali ya kuwezesha wananchi wake kama Tanzania (tuna matatizo yetu ndio) ila kwenye hili tunajitahidi.
Kinachotuangusha kama vijana ni viroho fulani vya ubinafsi na roho mbaya za ndani ndani na kushindwa kufanya kazi kwa kushirikiana.
View: https://youtu.be/KAZOs4KwhUU?si=K01eXAI0MUB3eqNs
Tupo vizuri sana,ndio maana upande wa sadc kuna intern doctors kibao wamejaa mloganzila,muhimbili,kairuki n.kTuko vizuri tofauti ya wao na sisi ni moja: sis hatupigi kelele, yaani tuko kimya.
Yeah, NakuruHii nimeshindwa kabisa. Could it be Nakuru?
And are those zebras grazing on the open field?