concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Reli sio kwamba inajengwa na trc, kwa sasa tunaweza tumia behewa na vichwa 17 tulivyo nanvyo ili kuweza timiza malengo labda tunahitaji vichwa kwa ajili ya mgr tu kwa pesa tunazopata kwenye usafirishaji wa abiria tu ilifaa tutenge hata asilimia 49 kwa ajili ya maendeleo ambayo ni pamoja na ujenzi ya hayo magodownKaka Tatizo Capital. Pesa ni nyingi mno zinahitajika. Yaani ujenge, reli, ununue vichwa vya treni, babehewa, Ujenge storages, Ujenge bandari kavu. Kaka hii inahitaji billions of $.