President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Brother unaongea theories, unless upo na ajenda tofauti. Kwahiyo operation cost ya SGR ni zero?Hakuna gharama ya uendeshaji wa trc bali wanalazimisha uonekane ni gharama , fikiria kukodi behewa la tan 40 mpaka dom ni 2.5mil kwa mizigo ila haya mabehewa hurud empty ila ukienda kwenye abiria hasa economy ni walau 2.7 na huwa haliridi empty , na tukisema basi limejaza kwa 70% go and return ni 3,822,000 . Hapo kuna dereva 1, mhudumu 1, mkata ticket 4 na nyongeza ya wahudumu wa ziada 10 kwa Kila behewa kwa kadirio la juu sana , gharama ya umeme ni nusu ya diesel .
Kama ishawahi Fanya kazi kwenye taasisi ya serikali gharama huwa zinaongezwa
Treni ndiyo zimeanza kufanya kazi tu, kutoka Dar kwenda Dodoma.
Investment ya reli siyo kama investment ya uuzaji wa nyanya. Storages zitajengwa na watu wengine. Wacha TRC ifanye jukumu lake mama la usafirishaji.
Mfano hapo Kwala, Rwanda na Burundi wamejenga maeneo yao.
Hata huko kwingine watajenga private sectors.
Pesa za mapato ya SGR gawio litaingizwa kwenye mfuko mkuu wa serikali kwaajili ya kufanikisha ujenzi wa SGR matawi mengine kama Kutoka Tanga - Arusha - Musoma.
Dar - Korogwe. Mtwara - Mbamba bay.
Na treni zingine za kwenye majiji makubwa.
Yaani vipesa vidogo hivyo vya nauli za abiria zitumike kufanya investment kubwa? SGR watajiendesha na nini? TRC ni shirika linatakiwa wafanyakazi wake walipwe mshahara TRC siyo serikali kuu
Hizo mentality zako hizo ndizo zimetufanya tukashindwa kuendelea.