Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

K
Walikuwa hawalipi ushuru wa mazao hawa majambazi ,sasa hivi wakitaka mahindi shart waje gharani.
 

Kwa Sheria hii mpaka kina mo inawahusu na Iko strict sana mikoa yenye stakabadhi ghalan kama mtwara.
Yaan ni marufuku kuweka hata kijiwe Cha kununua korosho , korosho yote ipelekwe gharan , sasa hawa wanataka wapewe favour ambazo hata tz hazipo.
Walizoe kununua mahindi kwa dumla na ufuta kwa kangomba🤣🤣
 
KDK ni 2014? You must be really empty upwards.
Pole mwaka huu mtapusuka.
Hyundai Universe: Manufactured by Hyundai Motor Company, the Universe is a heavy-duty luxury coach introduced in 2006.
Gari ilinunuliwa second hand hiyo🤣🤣🤣🤣.
Hamnaga akili
Hata hiyo 2014 nilikuwa nimewapendelea ili msionekane wachovu.

Yutong F14

Introduced: March 15, 2025, at a launch event in Tanzania (Dar es Salaam) where Yutong unveiled the front-engine D14 (ZK6139D) coach
 
Watu wenye GDP kubwa na matajiri wanalilia vibiashara vya machinga
 
Broo sijui tunabishania nini wakati treni ya mizigo bado haijaaanza kazi,kinachoendelea sasa ni majaribio tuu, kumbuka bandari inatema mizigo 24/7 sasa ukisema zitakua zinatembea usiku pekee yake ni kama utakua umezilimit
 
Broo sijui tunabishania nini wakati treni ya mizigo bado haijaaanza kazi,kinachoendelea sasa ni majaribio tuu, kumbuka bandari inatema mizigo 24/7 sasa ukisema zitakua zinatembea usiku pekee yake ni kama utakua umezilimit
watu wajuaji humu ndani!
 
Sisi huwa hatulii mitandaoni bali tunachukua hatua haya na nyinyi igeni basi kama sio wenu hao

View: https://x.com/MwangoCapital/status/1950186786585756024?t=NtV3Nx10QfKx3hjvhdzxWg&s=19
Sisi tunafanya mambo yetu ya ndani kwaajili yetu sasa mbona milio inatokea nje ya nchi? Na nyie fanyeni ya kwenu kila mtu na nchi yake kuliliana ya nini sasa? Is our domestic policy affecting our neighbours? kweli domestic policy ya Mexico inaweza ikaathiri USA Eti wamarekani wanalilia kujihusisha na biashara ndogondogo Mexico😁
 
Tofauti ni maturity between hizi nchi mbili... nyinyi huwa mnaongozwa na emotions na utoto
Hata Japan a foreigner haruhusiwi kununu gari directly kwa raia lazima umtafute mjapan anunue on your behalf ndio akutumie kwenu na yeye anapata commission kidogo. Hiyo ndio sera ya kuinua wananchi kimaisha iko kotekote hata nchi za first world wana sheria kama hizo foreigner hawezi kufanya biashara kiholela hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…