Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muungano wa kifala EAC, SADC ambao members wote wanaangalia kuchuma Tz tu na sisi hatuna cha kuchuma nchi yao hapana, tuishie kwa mambo mengine.
 
Somalia wame fufua shirika lao la ndege, soon utasikia hilo taifa la wenye njaa na wivu wamezuia ndege zao kutua kwao huku wao wakitaka zao ziende kwao. 😂😂😂
 
Hivi van za TZ uingia masai mara au amboseli,na kuna m TZ tour guide kule mombasa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…